Majizzo Ndani ya Clouds360 on Clouds Tv February 20

Majizzo Ndani ya Clouds360 on Clouds Tv February 20

Naziona kejeli zako then nacheka hihihi!
Page ya 9 hii unamwaga kejeli tu juu ya maradhi ya mtu!?
Ajabu.
Watu wanajisahau sana wakiwa kwenye keyboards mkuu!

Yaani mtu tangu asubuhi ni majungu tu juu ya afya ya mtu.
Inastaajabisha sana.
 
Naomba nkuulize swali Numby.. Hivi ruge pamoja na kuwa tajiri wa kuogopwa leo hana hata nyumba ya kisasa au hata ghorofa aliuze badala ya kutembeza bakuli jamani.. Mi hata sielewi

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeisikiliza ile clip kupitia Youtube, nilichogundua ni kuwa siyo kwamba anaomba msaada,Bali kuna watu walijitolea kuonesha kuguswa ndipo wakaona watoe namba maalumu ya wote wanaoguswa iwe kwa Fedha au Faraja Isiyo Fedha.

Na suala la gharama ni 4-6Mil per day,endapo mgonjwa atakuwa ICU.

Lakini kama hayupo ICU ni 1Mil per day.

BTW,Kwa Mujibu wa Mdogo wake Ruge,kwa sasaivi Wapo katika stage ya Mwisho ya Matibabu aina ya Rehabu ambayo ni kisaikolojia zaidi,Ijapokuwa sasa ni Muhimu sana Kumwombea kwa Imani ya kila Moja wetu kwani,endapo hali ya mgonjwa itacharuka(ambayo Mara nyingi husababishwa na Mgonjwa kufanya kazi wakati haruhusiwi),ICU inaanza upya na rehab inakuwa Cancelled.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona we ndo unaonekana mshamba zaidi, wajanja hawana shobo kama zako!!
Wewe unajua nini bwana umetoka kwenu sitimbi huko .hata ukoko wa shingo bado haujakutoka still unanuka jasho la beberu.... habari za mjini kama hizo utazijulia wapi !"

Au ndio unataka tuanze kukuhabarisha kijanja !?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona we ndo unaonekana mshamba zaidi, wajanja hawana shobo kama zako!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenye shobo yupi sasa baina yetu kati anaye mshobokea ruge na kujifanya anamjua sana Au mimi ambaye sina hata time nae ..... wenye shobo ni nyinyi hapo ambo mnamshobokea mtu ambaye hata hawajui ....mbaya zaidi yaweze kana hata wazazi wenu mnashindwa kuwakumbuka kuwa tumia hela ya panadol pindi wanapo umwa ....lakini hpa jf mnataka muonekane ma -decent kwa kupitia ugonjwa wa ruge ...period

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duhh! Anatumia milioni tano kila kukicha kwa ajili ya matibabu. Tumuombee kwa Muumba ili avuke kipindi hiki kigumu katika maisha yake, manake hata Dimpoz alifanikiwa.
Ila huyu jamaa nina wasiwasi na ugonjwa wake, kama sio TANESCO basi atakuwa amepewa sumu
Huyo ana UKIMWI uliosababishwa na HIV. Ni kawaida sana ukitumia ARV kwa muda mrefu huwa zinasababisha kugaribika kwa organs. Ndo maana figo zimefeli. Pia inawezekana pamoja na kutumia ARV bado alikuwa anafanya ngono zisizo salama na wanawake tofauti tofauti,hivyo alikuwa anapata re infections.
 
Kwa hivo hata Zamaradi anao?

Mmmmmmmhhhhh mapya haya.
 
Back
Top Bottom