greybakuza
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 897
- 1,276
Kwani lini kakwambia ye tajiri!!?Huyu ndo tajiri wa kwanza kuona anatembeza bakuli.Lissu sio tajiri hivyo hata akihitaji michango ni sawa.Ukweli ni kwamba wabongo wengi hawana kitu sema misifa na kujikweza ndo tuko vizuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app