Majizzo Ndani ya Clouds360 on Clouds Tv February 20

Ugua pole Ruge

Mimi kwenye ugonjwa no dhihaka kwa kweli. ZAMARADI yeye anamlelea yule fundi magari wake.

Na ndio maana yule mzee wa makalio MAKUBWA KAJITOA KUSEMA ANACHANGIA MATIBABU YA PASCAL CASSIAN kuonyesha na hela lakini sio kwa Ruge
 
Naomba nkuulize swali Numby.. Hivi ruge pamoja na kuwa tajiri wa kuogopwa leo hana hata nyumba ya kisasa au hata ghorofa aliuze badala ya kutembeza bakuli jamani.. Mi hata sielewi

Sent using Jamii Forums mobile app

ruge ana mali kibao.. na baba yake ni proffessa.. kwao wana pesa na yeye ana mali kibao.. nashangaa why watu wanachangishwa.. ile escape one beach ni ya ruge , ile tatu mzuka inayotoa mazawadi kila wiki mahela ni ya ruge.. ile THT wasanii ni ya ruge..

Gari anazotembelea ruge sio used za kijapan.. ufupi maisha yake ni ya kitajiri.. nashangaa why asiuze asset zake?
 
wakiwa wazima wa afya wanajifanya wanambwembwe na kujisifu kuwa wana mshiko, wakiugua wanajifanya kujishusha na kutuomba michango walala hoi. wasanii wa bongo vituko kama wa US tu,,,, GOFUNDME
Duhh! Anatumia milioni tano kila kukicha kwa ajili ya matibabu. Tumuombee kwa Muumba ili avuke kipindi hiki kigumu katika maisha yake, manake hata Dimpoz alifanikiwa.
Ila huyu jamaa nina wasiwasi na ugonjwa wake, kama sio TANESCO basi atakuwa amepewa sumu
 
ruge ana mali kibao.. na baba yake ni proffessa.. kwao wana pesa na yeye ana mali kibao.. nashangaa why watu wanachangishwa.. ile escape one beach ni ya ruge , ile tatu mzuka inayotoa mazawadi kila wiki mahela ni ya ruge.. ile THT wasanii ni ya ruge..

Gari anazotembelea ruge sio used za kijapan.. ufupi maisha yake ni ya kitajiri.. nashangaa why asiuze asset zake?
Hapa ndio panapo tushangaza .... wameshazoea kuwageuza wabongo ng'ombe wa maziwa ....hao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I bet itakuwa umeuza mechi ... mimba ni yaruge hiyo umemsingizia mumeo .... sasa ukitazama ruge now anaumwa basi unazidi kuchanganyikiwa kicha kina waka moto kama jiko la gesi ....

Usijali mzee baba atapona tu " Subiri tumchangie kwanza ...haha ha

Sent using Jamii Forums mobile app
Lea mtoto huyo, akikua kazae na Ruge pia nafsi itulie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ruge ana mali kibao.. na baba yake ni proffessa.. kwao wana pesa na yeye ana mali kibao.. nashangaa why watu wanachangishwa.. ile escape one beach ni ya ruge , ile tatu mzuka inayotoa mazawadi kila wiki mahela ni ya ruge.. ile THT wasanii ni ya ruge..

Gari anazotembelea ruge sio used za kijapan.. ufupi maisha yake ni ya kitajiri.. nashangaa why asiuze asset zake?
Kama ni hivyo, hii ni hatari. Isije ikawa watu wanachangamkia fursa
 
Hata Lissu alichangiwa na bado anaendelea kuchangiwa mpaka leo. Huo ni utamaduni wetu waafrika kushirikiana wakati wa matatizo. Haimaanishi kuwa Ruge na watu wake wa karibu wameshindwa kumudu gharama za matibabu. Kumbuka ameshatumia zaidi ya 600M, mpaka hapo inatosha kukupa picha kuwa huyo mtu siyo level yako wala ya ukoo wako.
Masikini tuache chuki, KUMCHUKIA TAJIRI HAKUKUFANYI UFANIKIWE WALA HAKUMSHUSHI TAJIRI.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu ndo tajiri wa kwanza kuona anatembeza bakuli.Lissu sio tajiri hivyo hata akihitaji michango ni sawa.Ukweli ni kwamba wabongo wengi hawana kitu sema misifa na kujikweza ndo tuko vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya witnessj njoo uone mali hizi
ruge ana mali kibao.. na baba yake ni proffessa.. kwao wana pesa na yeye ana mali kibao.. nashangaa why watu wanachangishwa.. ile escape one beach ni ya ruge , ile tatu mzuka inayotoa mazawadi kila wiki mahela ni ya ruge.. ile THT wasanii ni ya ruge..

Gari anazotembelea ruge sio used za kijapan.. ufupi maisha yake ni ya kitajiri.. nashangaa why asiuze asset zake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wakiwa wazima wa afya wanajifanya wanambwembwe na kujisifu kuwa wana mshiko, wakiugua wanajifanya kujishusha na kutuomba michango walala hoi. wasanii wa bongo vituko kama wa US tu,,,, GOFUNDME
Kama ni mzima una afya,kwanini uombe,THEY ARE DAMN RIGHT.
The best place to ask for a helping hand is at the END of your ARM.
 
Back
Top Bottom