Majizzo Ndani ya Clouds360 on Clouds Tv February 20

Majizzo Ndani ya Clouds360 on Clouds Tv February 20

Sawa basi tuseme asset zimeisha ndo mana anachangisha..
Mi nimeuliza tu sababu nlihisi katumia cash yake sababu kuna watu wana salio hata la mil 500 bank..
Nkapata wazo kwanini asihamie kwenye mali zake sababu hii micjango wengine wanafjikia hatua ya kumdhalilisha..hata angebaki sifuri mali zinatafutwa bora uhai.
Sijapenda haya makelele juu yake
Kama mali zimeisha basi hakuna jinsi
Ngoja nikwambie kitu mdogo wangu maisha sio kama unavyoyaona hvyo acording tu yule ndugu yake ruge tayar wameshapend takriban milion 500 toka ameanza kuumwa so kama ni kuuza nyumba hapo ameuza nyumba ngap? kulazwa pale siku moja ni milion 5 unafikr ni jambo jepesi kwao kusema kwamba familia peke ake ifanye hvyo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akili yako Huwa inapata twasira ipi pindi mtu anayefahamika mjini kwa kujita au kuitwa boss fulani ... anapogeuka kuwa Matonya !?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe shida ni kuitwa Boss!?
Basi tufanye huo uboss wake ndo umemfanya amudu bill ya 600M ambayo wewe unaishia kuisikia bungeni kwenye mijadala ya bajeti.
Amakweli chuki ni Ugonjwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata Lissu alichangiwa na bado anaendelea kuchangiwa mpaka leo. Huo ni utamaduni wetu waafrika kushirikiana wakati wa matatizo. Haimaanishi kuwa Ruge na watu wake wa karibu wameshindwa kumudu gharama za matibabu. Kumbuka ameshatumia zaidi ya 600M, mpaka hapo inatosha kukupa picha kuwa huyo mtu siyo level yako wala ya ukoo wako.
Masikini tuache chuki, KUMCHUKIA TAJIRI HAKUKUFANYI UFANIKIWE WALA HAKUMSHUSHI TAJIRI.

Sent using Jamii Forums mobile app
Waambie, wivu umetujaa sana, yaani inakuwa too much hadi mgonjwa anaonewa wivu...! Yaani ukiwauliza wanaomchukia Ruge asilimia kubwa hawana sababu. Mtu kama unamchukia mtu usilazimishe wengine wamchukie.
Wengine wanasema alikuwa malaya heeh mazingira yaliruhusu, tumeumbiwa tamaa sa kama walijirengesha kwake kwanini asiwapitie, wengine ooh hakusaidia wasanii jamani... Kajisemea mkusanya rambirambi yule, walibebwa wakashindikana. Sa angewasaidiaje? Mind you na ye alikuwa anatafuta hela sa akusaidie anaona huna lolote??
Asilimia kubwa ya wasanii wamepitia kwa Ruge, sa sijui walitaka awatungie na nyimbo khaaaah. The man has played his part, kuliko mtu yeyote jamani. Mnaomchukia ni chuki zenu za kimaskini. Hamjashikiwa fimbo kumchangia, na sio lazima, hata kumuombea ni mchango tosha.
Tupunguze chuki na wivu, maana wanasema hizi ni viashiria vya mwanzo mwanzo kuelekea kuwa mchawi.

"Thank you God"
 
Kumbe shida ni kuitwa Boss!?
Basi tufanye huo uboss wake ndo umemfanya amudu bill ya 600M ambayo wewe unaishia kuisikia bungeni kwenye mijadala ya bajeti.
Amakweli chuki ni Ugonjwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Million 600. Ipi ambayo amemudu haha hiyo ni pesa yake including michango ya wana ndugu jamaa na marafiki aise .... baada ya kuona kuwa matibabu ya jamaa yana wafilisi wakaona wausukumizie mfupa uliomshinda fisi kwa watanzania ....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni zaidi ya uchawi Kumchukia na kumuonea wivu mgonjwa, basi umweni nyie tuwachangie.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa hakuna Mtu Anaye mchukia ruge ... kwanza kama ulikuwa haujui mimi nathamini sana mchango wake alionao katika jamii

.lakini hilo halimaanishi kwamba tuache kukosoa pale ambapo ali/walionyesha kukosea katika life style yao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Million 600. Ipi ambayo amemudu haha hiyo ni pesa yake including michango ya wana ndugu jamaa na marafiki aise .... baada ya kuona kuwa matibabu ya jamaa yana wafilisi wakaona wausukumizie mfupa uliomshinda fisi kwa watanzania ....

Sent using Jamii Forums mobile app
Uchawi siyo mpaka upige manyanga, Chuki mlizonazo ni uchawi tosha.
Basi tufanye hajatumia hata senti yake, umeridhika?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom