Majizzo Ndani ya Clouds360 on Clouds Tv February 20

Majizzo Ndani ya Clouds360 on Clouds Tv February 20

Masikini hajifichi, nanusa harufu ya ufukara kwenye maandishi yako.
Hakuna tajiri wa kushinda mitandaoni akihoji na kuchunguza maisha binafsi ya watu waliopiga hatua. Umejawa chuki, roho mbaya na husda na hiyo ndiyo tabia kuu ya Maskini.
Nna uhakika 100% hapo ulipo hujui utakula nini mchana wa leo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa zamaradi unashida sana ... naona upo kwenye depression na Trauma nzito sana Angalia tu usije ukajinyonga hahaa .... kwahiyo unadhani sisi wote tuna tegemea michango ili tuweze kupata life health support kama ilivyo kwa baba watoto wako !?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaaa. Ndio wawe wana weka Akiba ya maneno basii kwa maana siku huwa hazigandi " Inastaajabisha kuona kwamba Tajiri anataka kuchangiwa mpaka na kina siye pangu pakavu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata Lissu alichangiwa na bado anaendelea kuchangiwa mpaka leo. Huo ni utamaduni wetu waafrika kushirikiana wakati wa matatizo. Haimaanishi kuwa Ruge na watu wake wa karibu wameshindwa kumudu gharama za matibabu. Kumbuka ameshatumia zaidi ya 600M, mpaka hapo inatosha kukupa picha kuwa huyo mtu siyo level yako wala ya ukoo wako.
Masikini tuache chuki, KUMCHUKIA TAJIRI HAKUKUFANYI UFANIKIWE WALA HAKUMSHUSHI TAJIRI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haaaahaaaa uwiiii[emoji1787][emoji1787][emoji1787]....huwaga mambo mengine hajuagi kupotezea bi shost!

Utawajibu wangapi sasa waongea shombo, kuwa kama hamisa bana dyadya

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa ngoja niachane nae aise nisimpe kick Maybe anatafuta jina Jf kupitia mgongo wangu .... ili iweze kuwa rahisi kwake kuweza Kudanga humu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata Lissu alichangiwa na bado anaendelea kuchangiwa mpaka leo. Huo ni utamaduni wetu waafrika kushirikiana wakati wa matatizo. Haimaanishi kuwa Ruge na watu wake wa karibu wameshindwa kumudu gharama za matibabu. Kumbuka ameshatumia zaidi ya 600M, mpaka hapo inatosha kukupa picha kuwa huyo mtu siyo level yako wala ya ukoo wako.
Masikini tuache chuki, KUMCHUKIA TAJIRI HAKUKUFANYI UFANIKIWE WALA HAKUMSHUSHI TAJIRI.

Sent using Jamii Forums mobile app
Lissu hajawahi kujinasibu kuwa yeye ni Tajiri .... sijui unalijua hilo kwanza Au akili yako imechacha !? Uneshawahi kuona wapi tajiri akiomba msaada wa matibabu ...tuanzie hapo kwanza !!!

Hahaa my foot yaani hawajashindwa kumudu mahitaji then wakubali kuomba omba ...hii nimpya masikioni mwangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sinilisikia kuwa ana HISA 3 mzuka ... ina maana mihela yote ile wanayo jifanya kugawa gawa kwa washindi " Ameshindwa kuchukua hata Faida ya walichokuwa wanakiingiza kwaajili ya kumpatia matibabu kweli !?

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza kuta tunawasingizia tu,kumbe co. ni za wahindi tu wabongo tunaishia kupigwa sound eti za wabongo,hahah.

Kwa mwendo huu utakuta hata ya Clouds sio ya Kusaga labda inamilikiwa hata yule mbunge aligonga punda hahah.
 
Hahaa zamaradi unashida sana ... naona upo kwenye depression na Trauma nzito sana Angalia tu usije ukajinyonga hahaa .... kwahiyo unadhani sisi wote tuna tegemea michango ili tuweze kupata life health support kama ilivyo kwa baba watoto wako !?

Sent using Jamii Forums mobile app
Lini Ruge kakuomba mchango wako!!!???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lissu hajawahi kujinasibu kuwa yeye ni Tajiri .... sijui unalijua hilo kwanza Au akili yako imechacha !? Uneshawahi kuona wapi tajiri akiomba msaada wa matibabu ...tuanzie hapo kwanza !!!

Hahaa my foot yaani hawajashindwa kumudu mahitaji then wakubali kuomba omba ...hii nimpya masikioni mwangu

Sent using Jamii Forums mobile app
Lini Ruge alijinasibu yeye Tajiri!?
KUMCHUKIA TAJIRI HAKUPUNGUZI UMASIKINI WAKO.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waje kunisupport kwa lipi.. Kama una ndugu wa aina hiyo shukuru..
Undugu sie wengine upo kwenye michngo ya harusi basi
Kama nna kiwanja million 40 ntauza nkatafute tiba. Isipotosha ntauza kingine.. Vikiisha sijapona ntaamua niende tu.
We ukiugua unaanza kuuza mali zako, mashamba na majumba kabla hujawahusisha ndugu, jamaa na marafiki wanaoweza kuku support??

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaweza kuta tunawasingizia tu,kumbe co. ni za wahindi tu wabongo tunaishia kupigwa sound eti za wabongo,hahah.

Kwa mwendo huu utakuta hata ya Clouds sio ya Kusaga labda inamilikiwa hata yule mbunge aligonga punda hahah.
Hahaa kama ndio hivyo basi wao ndio huwa wanajikaanga kwa mafuta yao wenyewe mkuu ... kwanini wadanganye halafu yanapokuwa maji ya shingo wanarudi kwetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom