Majizzo Ndani ya Clouds360 on Clouds Tv February 20

Majizzo Ndani ya Clouds360 on Clouds Tv February 20

Naomba nkuulize swali Numby.. Hivi ruge pamoja na kuwa tajiri wa kuogopwa leo hana hata nyumba ya kisasa au hata ghorofa aliuze badala ya kutembeza bakuli jamani.. Mi hata sielewi

Sent using Jamii Forums mobile app
We ukiugua unaanza kuuza mali zako, mashamba na majumba kabla hujawahusisha ndugu, jamaa na marafiki wanaoweza kuku support??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja nikwambie kitu mdogo wangu maisha sio kama unavyoyaona hvyo acording tu yule ndugu yake ruge tayar wameshapend takriban milion 500 toka ameanza kuumwa so kama ni kuuza nyumba hapo ameuza nyumba ngap? kulazwa pale siku moja ni milion 5 unafikr ni jambo jepesi kwao kusema kwamba familia peke ake ifanye hvyo?
Naomba nkuulize swali Numby.. Hivi ruge pamoja na kuwa tajiri wa kuogopwa leo hana hata nyumba ya kisasa au hata ghorofa aliuze badala ya kutembeza bakuli jamani.. Mi hata sielewi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sinilisikia kuwa ana HISA 3 mzuka ... ina maana mihela yote ile wanayo jifanya kugawa gawa kwa washindi " Ameshindwa kuchukua hata Faida ya walichokuwa wanakiingiza kwaajili ya kumpatia matibabu kweli !?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani muda wote huo aliokuwa anatibiwa ulimchangia gharama za matibabu!!? Wamejitolea watu wake wa karibu na wapenzi wa CMG kumchangia mpendwa wao we unawashwa nini!?
Kwa taarifa yako hata usipotoa senti yako inayonuka umasikini bado tu atatibiwa na ukweli hautabadilika kuwa Anakuzidi uwezo (kiuchumi) wewe na ukoo wako wote.

Hahaa ..wewe umejuaje kuwa ananizidi uwezo wa kiuchumi Au umekuwa mpiga ramli .... Naona ume panic bila shaka itakuwa ni zamaradi wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kitu kama wanaficha? Kweli anaumwa figo lkn naona bado hawajawa specific, unahitaji msaada kuwa mkweli na si kufichaficha. Hiyo milioni tano per day itakuwa inalipwa kwa mda gani? au kwani haiwezakani kupandikizwa figo nyingine ili kuepusha gharama manake mpaka sasa haifahamiki kinahitajika kiasi gani, zaidi ya kuambiwa zinahitajika 5m or 6m per day.
 
Mkuu tutafute hela...tutaishia kudhalilika yakitufika na umaskini

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa haraka haraka .. nilivyoona mimi anaye dhalilika hapa ni yule ambaye tulikuwa tunaaminishwa kuwa ana mihela kumbe ni alfu lela ulela tu

Sisi masikini hata tukidhalilika story zetu zitaashia mtaani huko sana sana zikizidi sana ni mtaa wa 3 na wa pili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaa kumbe !!! Kama ndiye yeye wala hanisumbui ...tumemkuza wenyewe kinondoni studio alikuwa mchafu mchafu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Haaaahaaaa uwiiii[emoji1787][emoji1787][emoji1787]....huwaga mambo mengine hajuagi kupotezea bi shost!

Utawajibu wangapi sasa waongea shombo, kuwa kama hamisa bana dyadya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaa ..wewe umejuaje kuwa ananizidi uwezo wa kiuchumi Au umekuwa mpiga ramli .... Naona ume panic bila shaka itakuwa ni zamaradi wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Masikini hajifichi, nanusa harufu ya ufukara kwenye maandishi yako.
Hakuna tajiri wa kushinda mitandaoni akihoji na kuchunguza maisha binafsi ya watu waliopiga hatua. Umejawa chuki, roho mbaya na husda na hiyo ndiyo tabia kuu ya Maskini.
Nna uhakika 100% hapo ulipo hujui utakula nini mchana wa leo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom