Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Wasituzingue WAFANYE KAZi.Msamaha ninaoomba ni kwa sababu nafahamu kuna mahali wadogo zangu hawa walipitiliza na sio kwa sababu walifanya kampeni (ile ni haki yao na uamuzi wao). Najua kuna maneno yalikukera, sio katika level ya siasa, bali katika level ya utu. NAOMBA MSAMAHA.
Huu muziki ni wenu. Mkiumiza tasnia, mnaumiza maelfu ya ajira. Kina Shilole hao wanaweza kutufikia sisi siku moja moja ukamtoa, vipi kuhusu wale wafanyakazi wake? Diamond na wengine, Mungu amewajaalia riziki, lakini unawaza kuhusu ajira zinazopotea kwa sababu ya hasira yako kwake?
Naomba Radhi, na ikiwapendeza naomba muendelee kuupa nguvu Muziki wenu.
Anajua Tasnia ikifa na yeye Hana chake, nyoooooosha izo takatakaHuyu majizo nae mngese tuu, mbona hakuja kuongea huyo mond alivyotutukana
Wapige shoo LumumbaWaende wakasapotiwe na ccm, wapuuzi wakubwa hao. Yaani tulie kilio cha haki kisha wao wasimame upande wa watesi, saa hii waje na hizo porojo uchwara.
Mwamba habari yako Mkuu, huyu majjizo atulie tu asitake watu wasemeMziki ndiyo mmeona jambo la maana sanaaa ehhh!
Mnataka kila kijana awe mkata mauno
Ova
Show hazipigiki ,ndio maana promota analalamikaWapige shoo Lumumba
Anaona mziki ndiyo jambo muhimu sanaaaa kwa mtanzaniaMwamba habari yako Mkuu, huyu majjizo atulie tu asitake watu waseme