Wanawakwaza sana watu walioamua kukaa kimyaMwamba habari yako Mkuu, huyu majjizo atulie tu asitake watu waseme
Ashaona msamaha unaombwa kwa niaba?Msamaha ninaoomba ni kwa sababu nafahamu kuna mahali wadogo zangu hawa walipitiliza na sio kwa sababu walifanya kampeni (ile ni haki yao na uamuzi wao). Najua kuna maneno yalikukera, sio katika level ya siasa, bali katika level ya utu. NAOMBA MSAMAHA.
Huu muziki ni wenu. Mkiumiza tasnia, mnaumiza maelfu ya ajira. Kina Shilole hao wanaweza kutufikia sisi siku moja moja ukamtoa, vipi kuhusu wale wafanyakazi wake? Diamond na wengine, Mungu amewajaalia riziki, lakini unawaza kuhusu ajira zinazopotea kwa sababu ya hasira yako kwake?
Naomba Radhi, na ikiwapendeza naomba muendelee kuupa nguvu Muziki wenu.
Anything to kuweza kuibua hisia za huruma, is what anafanyaHizo takwimu za huyo muomba msamaha haziko sahihi. Yaani Wasafi Media wameajiri vijana 500. Wanafanya kazi gani vijana wote hao?
CCN na ukubwa wake wote ule imeajri kama watu 3,500 tu dunia nzima.
qumanyokoo waambie mashamba yapo mengi waende wakalimeMsamaha ninaoomba ni kwa sababu nafahamu kuna mahali wadogo zangu hawa walipitiliza na sio kwa sababu walifanya kampeni (ile ni haki yao na uamuzi wao). Najua kuna maneno yalikukera, sio katika level ya siasa, bali katika level ya utu. NAOMBA MSAMAHA.
Soma: Diamond Platnumz: Fanyeni kazi, acheni lawama, kila awamu, kila uongozi mnalalamika
Huu muziki ni wenu. Mkiumiza tasnia, mnaumiza maelfu ya ajira. Kina Shilole hao wanaweza kutufikia sisi siku moja moja ukamtoa, vipi kuhusu wale wafanyakazi wake? Diamond na wengine, Mungu amewajaalia riziki, lakini unawaza kuhusu ajira zinazopotea kwa sababu ya hasira yako kwake?
Naomba Radhi, na ikiwapendeza naomba muendelee kuupa nguvu Muziki wenu.
hawa akina mondi, wema, shilole, ommy, n.k sio kuwakataa tuu wanatakiwa popote watakapoonekana wapigwe mawe kabsaMsamaha ninaoomba ni kwa sababu nafahamu kuna mahali wadogo zangu hawa walipitiliza na sio kwa sababu walifanya kampeni (ile ni haki yao na uamuzi wao). Najua kuna maneno yalikukera, sio katika level ya siasa, bali katika level ya utu. NAOMBA MSAMAHA.
Soma: Diamond Platnumz: Fanyeni kazi, acheni lawama, kila awamu, kila uongozi mnalalamika
Huu muziki ni wenu. Mkiumiza tasnia, mnaumiza maelfu ya ajira. Kina Shilole hao wanaweza kutufikia sisi siku moja moja ukamtoa, vipi kuhusu wale wafanyakazi wake? Diamond na wengine, Mungu amewajaalia riziki, lakini unawaza kuhusu ajira zinazopotea kwa sababu ya hasira yako kwake?
Naomba Radhi, na ikiwapendeza naomba muendelee kuupa nguvu Muziki wenu.
Mbona rais kapata kula 32million inamaana hawa hawatoshi kuwasapoti na kuwainua wasanii wa mbogamboga?Wasituzingue WAFANYE KAZi.
Waende Mbogamboga wakasapotiwe na wanachama wao milini 13.
Hahaaa kweli hao wapiga kura milioni 32 wanatosha kuwapa sapoti wasanii wa mbogamboga.Mbona rais kapata kula 32million inamaana hawa hawatoshi kuwasapoti na kuwainua wasanii wa mbogamboga?
Ni j 29Huyo Majizzo akitulize, atasalimiwa vyema mnamo D25 asiwe na papara
AsanteNi j 29
Unaijua roho ya kimasikini kama kupinga utekaji ufisadi na mauaji ni roho ya kimasikini basi gen Z wana roho nzuri sana na akili kuliko nyie vibabu mnaoishi kwa chuma uleteGen Z vijana wenye chuki na roho za kimaskini ,huku watu wanaendelea na kazi zao...acheni ujinga fanyeni kazi.
Hatoweza kuyaishi yale maisha ya ki-staa kama atakosa ushirikiano na itampelekea msongo wa mawazo na hatimaye kuwa teja.