Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,397
- 101,204
Mpuuzi huyo,asitake kufanya watu next move wakamtembeleaAnaona mziki ndiyo jambo muhimu sanaaaa kwa mtanzania
Na atulie kweli kweli
Ova
Mpuuzi huyo,asitake kufanya watu next move wakamtembeleaAnaona mziki ndiyo jambo muhimu sanaaaa kwa mtanzania
Na atulie kweli kweli
Ova
Kwanini hazipigiki?Show hazipigiki ,ndio maana promota analalamika
Piga ban wahuni wote hao wanaoshirikiana na watawala kuwakandamiza wanyonge.Msamaha ninaoomba ni kwa sababu nafahamu kuna mahali wadogo zangu hawa walipitiliza na sio kwa sababu walifanya kampeni (ile ni haki yao na uamuzi wao). Najua kuna maneno yalikukera, sio katika level ya siasa, bali katika level ya utu. NAOMBA MSAMAHA.
Huu muziki ni wenu. Mkiumiza tasnia, mnaumiza maelfu ya ajira. Kina Shilole hao wanaweza kutufikia sisi siku moja moja ukamtoa, vipi kuhusu wale wafanyakazi wake? Diamond na wengine, Mungu amewajaalia riziki, lakini unawaza kuhusu ajira zinazopotea kwa sababu ya hasira yako kwake?
Naomba Radhi, na ikiwapendeza naomba muendelee kuupa nguvu Muziki wenu.
Wao hawana uwezo ww kuomba msamaha?Msamaha ninaoomba ni kwa sababu nafahamu kuna mahali wadogo zangu hawa walipitiliza na sio kwa sababu walifanya kampeni (ile ni haki yao na uamuzi wao). Najua kuna maneno yalikukera, sio katika level ya siasa, bali katika level ya utu. NAOMBA MSAMAHA.