PostGE2025 Majizzo: Ni kweli tunataka kumpoteza Diamond, mtu muhimu; aliyewainua Harmonize na Rayvanny?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Ashukuru Mungu huyo Diamondi watu hawa kumtembelea kama walivyo fanya kwa mwenzake nenga
 
Piga ban wahuni wote hao wanaoshirikiana na watawala kuwakandamiza wanyonge.
Hawa tunawaweza twende nao ulalo ulalo
 
Kwanini uwaombee msamaha wakati wao wenyewe wapo na wanaamini hawana kosa walilofanya? Msanii Nandy kakusanya wasanii wenzake na kufanya sijui kibao kata yani humo walikuwa wanakata mauno na kutunzana pesa halafu wewe Majizzo unakuja kuwaombea msamaha? Hii bado dharau.
 
Wao hawana uwezo ww kuomba msamaha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…