PostGE2025 Majizzo: Ni kweli tunataka kumpoteza Diamond, mtu muhimu; aliyewainua Harmonize na Rayvanny?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Watoke hadharani na wawaombe musamaha walio wakosea. Kuombewa musamaha huwa haifui dafu..
 
Ashaona msamaha unaombwa kwa niaba?

Kuna mambo hayafanywi kwa 'niaba' yakiwemo: kula, kujisaidia, kulala, kudeshdesh nk nk likiwemo hilo la kuomba radhi.

Juzi juzi nilimsikia mamake asivyo na busara akizidi tu kuleta ngebe za jeuri badala ya kuchutama na kujisetiri.
 
Hizo takwimu za huyo muomba msamaha haziko sahihi. Yaani Wasafi Media wameajiri vijana 500. Wanafanya kazi gani vijana wote hao?

CCN na ukubwa wake wote ule imeajri kama watu 3,500 tu dunia nzima.
 
Hizo takwimu za huyo muomba msamaha haziko sahihi. Yaani Wasafi Media wameajiri vijana 500. Wanafanya kazi gani vijana wote hao?

CCN na ukubwa wake wote ule imeajri kama watu 3,500 tu dunia nzima.
Anything to kuweza kuibua hisia za huruma, is what anafanya
 
qumanyokoo waambie mashamba yapo mengi waende wakalime
 
hawa akina mondi, wema, shilole, ommy, n.k sio kuwakataa tuu wanatakiwa popote watakapoonekana wapigwe mawe kabsa
 
Huyo Majizzo akitulize, atasalimiwa vyema mnamo D25 asiwe na papara
 
Gen Z vijana wenye chuki na roho za kimaskini ,huku watu wanaendelea na kazi zao...acheni ujinga fanyeni kazi.
 
Gen Z vijana wenye chuki na roho za kimaskini ,huku watu wanaendelea na kazi zao...acheni ujinga fanyeni kazi.
Unaijua roho ya kimasikini kama kupinga utekaji ufisadi na mauaji ni roho ya kimasikini basi gen Z wana roho nzuri sana na akili kuliko nyie vibabu mnaoishi kwa chuma ulete
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…