PostGE2025 Majizzo: Ni kweli tunataka kumpoteza Diamond, mtu muhimu; aliyewainua Harmonize na Rayvanny?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kwani majizo nawe umekosa kufunga majukwaa na system zako za miziki
 
Amefanya vizuri as a matured guy Ila angetaka kuwezea hii situation Angeacha diamond ajitee kuliko yeye kumtetea .


Nachojua MTU Kama diamond successful guy , ambaye anajua Maisha yanahitaji nn

Sifikirii Kama angerekodi video anatukana "********"

Mara nyingi nature inasema ikifika juu kinachofata ni kudondoka acha adondoke tu .
 
Hatuna mda wa kukatikiwa viuno sisi tuko live na maisha
 
Huyu anaumizwa kupotea kwa msanii kimziki kuliko kupotea kwa maisha ya watu elfu 10.
Hii inashangaza sana ila ndo maana wanaumia mali zilizoungua tena wanajua kwa idadi mali na vitu vyote kuliko hata vifo vya watu wengi hata ambao hawakuandamana.., et kutoa idadi ya walikufa kwa risasi ni kusheherekea vifo...Guys guys
 
Diamond akipotea tutapata hasara gani?
 
Diamond amejipoteza mwenyewe kwa kukubali kumpa Pdidy penzi akiamini kuwa anapewa upako kumbe kapakwa laana.
 
Chawa wote tuwe tupe
 
AACHE KULALAMIKA AJE NA SULULU HUKU ILONGA TUCHIMBE DHAHABU. VIJANA WAKISHASHIBA KUNA WAKATI WANAJISAHAU SANA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…