Iyerdoy
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,755
- 1,939
Mkuu, Sio kweli - Sijapotea mnzehe bado nipo. Unadhani hayo mazingira ya Congo ni ww peke yako unayeyajua? au Hakuna wanajeshi/wapiganaji wengine huko Congo (ukiacha huyo Mrundi) wanaopigwa picha? Kumbuka kwa sasa Dunia ni kama kijiji hakuna kilichojificha. Uwekaji wa emoji ya kicheko inaweza kumaanisha mtu ameifurahia komenti yako.Kunachangaomoto sana na elimu ya siku hizi, tena hafamu then anauliza kwa kejeli huku akiweka emoji za kicheko!!
Thats why wanaambiwa na ccm baada ya digrii zao waende veta.
Cc Iyerdoy na wenzako.