Mr_Teacher
JF-Expert Member
- Feb 28, 2021
- 362
- 343
MaraMajor General Mbuge ni kutoka kanda gani ?.
Mabeyo alizinguaMkuu wako wa majeshi mabeyo huwa anampigia salute DC Jokate mwegelo
Duuh, yaani CDF ana salute kwa DC? nlkua sijui hii, kwahyo unataka kusema CDF General Mabeyo sasa ata-salute kwa RC Major General Mbuge? mmhMkuu wako wa majeshi mabeyo huwa anampigia salute DC Jokate mwegelo
simaanishi kuhusu rank yake yake ya kijeshi, baod ni Major General sawa, ila je kutoka kuwa Mkuu wa JKT Tanzania nzima na kwenda kuwa RC je kashuka ama kapanda?Hajapanda cheo wala hajashuka cheo ni mabadiliko ya kimajukumu tuu angekuwa amekuwa Brigedier ningesema ameshuka
Hiyo ni demotion mkuu wala huhitaji akili kubwa. Mkuu wa mkoa hata hela anaomba kwa wakurugenzi wa halmashaurisimaanishi kuhusu rank yake yake ya kijeshi, baod ni Major General sawa, ila je kutoka kuwa Mkuu wa JKT Tanzania nzima na kwenda kuwa RC je kashuka ama kapanda?
Kimajukumu kijeshi kashushwa. Huyu alikuwa ni mkuu wa JKT nchi nzima na sasa hivi anaenda kuwa Mkuu wa Mkoa tuu.Hajapanda cheo wala hajashuka cheo ni mabadiliko ya kimajukumu tuu angekuwa amekuwa Brigedier ningesema ameshuka
bado ni major general hata akiwa raisMkuu wako wa majeshi mabeyo huwa anampigia salute DC Jokate mwegelo
Nmekusoma Nmekusoma nduguKimajukumu kijeshi kashushwa. Huyu alikuwa ni mkuu wa JKT nchi nzima na sasa hivi anaenda kuwa Mkuu wa Mkoa tuu.
Portfolio aliyokuwa nayo akiwa Mkuu wa JKT Tanzania ilikuwa ni kubwa sana kuliko sasa anavyokwenda kuwa Mkuu wa Mkoa.
Kwa kawaida wakiona umezingua jeshini they get rid of you kwa njia kama hii. Kumbuka wakati wa akina General Mirisho Sarakikya, T. Kiwelu n.k
Kwahiyo, Major General Charles Mbuge sasa hivi ameshika tama anasikitika.
Asantea!
Hakuzingua kumpigia salute mtu mwenye cheo Cha kisiasa anayemwakiliza rais ni sawa tu Wala hakumpunguzii kituMabeyo alizingua
Nani anakumbuka upandaji wa vyeo kwa huyu Major General Charles Mbuge!!....Paul Makonda analijua sana hili jamboKimajukumu kijeshi kashushwa. Huyu alikuwa ni mkuu wa JKT nchi nzima na sasa hivi anaenda kuwa Mkuu wa Mkoa tuu.
Portfolio aliyokuwa nayo akiwa Mkuu wa JKT Tanzania ilikuwa ni kubwa sana kuliko sasa anavyokwenda kuwa Mkuu wa Mkoa.
Kwa kawaida wakiona umezingua jeshini they get rid of you kwa njia kama hii. Kumbuka wakati wa akina General Mirisho Sarakikya, T. Kiwelu n.k
Kwahiyo, Major General Charles Mbuge sasa hivi ameshika tama anasikitika.
Asantea!
Demotion hiyoHabari wanabodi? naomba kupata uelewa kidogo, kwa nafasi kama ya Major General Mbuge kutoka kuwa Mkuu wa JKT na kwenda kuwa RC je hapo kapanda cheo ama kashuka? naomba uelewa wa kina juu ya hili tafadhali.
na, hongera kwake kwa uteuzi!!
Kazi kwelikweli inaonesha umezaliwa baada ya Vita vya KageraHiyo ni demotion mkuu wala huhitaji akili kubwa. Mkuu wa mkoa hata hela anaomba kwa wakurugenzi wa halmashauri