Major General Mhidze aliyekuwa MSD apelekwe kwenye Court Martial

Kijijini kwake? Kijiji gani hicho?
 
Sukumagangs na mataga wengi waliamini maneno na kauli za majigambo. Matokeo ya utendaji ni kuwa kila kilichosimamiwa na JPM kina harufu kali ya ubadhirifu!

Huyo mJWTZ na kina Dotto, Mwigulu ikifaa wapelekwe mahakama za wazi for public interests.

NB: Kumshangilia JPM na style yake ya uongozi ni kipimo elekezi (confirmation test) cha IQ ndogo!
 
Ni uongo,na sijui kwa nn mods wanaacha nyuzi Kama hizi.
Eti msd wamejenga kiwanda kijijini, alafu hata hiko Kijiji hakisemwi
 
Inamana kiwanda kipo kijijini kwao Lupembe??Embu fafanuwa! Maana kati ya Watanzania waaminifu na wazalendo kama Nyerere huyu ni mmoja wao na isitoshe Wanajeshi wapo kuilinda na kupigania ustawi wa nchi na watu wake. Sijawai sikia kuna Mwanajeshi amekamatwa kwa Ubadilifu ata siku moja.Kumbuka mpaka mkataba unasainiwa ni zaidi ya mwaka kama sio miaka- yeye ni msaini mikataba walio chini yake ndo wanaofaidika na all bad deals jua hilo. Tender Board na watu wa kitengo cha manunuzi wanawaangushia Ma MD majumba mabovu kila kukicha. Kwa huyu Jamaa nakataa kama alikuwa Ntu wa Dilli namfahamu na najua how serious alivyo
 
Hahahaa huyu Maj.Gen. Asipelekwe court martial maana akitimuliwa huko kibarua ataenda kuungana na makomando wa mchongo wa mbowe itakua matata zaidi mkuu hahaa
 
Court Marshall anashtakiwa kwa makosa ya kijeshi tu. Uelewe hilo
 
Hahahaa huyu Maj.Gen. Asipelekwe court martial maana akitimuliwa huko kibarua ataenda kuungana na makomando wa mchongo wa mbowe itakua matata zaidi mkuu hahaa
Yote aliyoeleza hapo ni ya uongo
 
Kwa hiyo mwanajeshi hata akifanya kosa lolote lile lazima apelekwe Court Martial?

Kuhusu huu ufisadi tuwekee na nyaraka namna alivofanya manunuzi bila taratibu za kisheria.
Na wewe tuwekee nyaraka za manunuzi zikiwa zimefuata utaratibu wa sheria ya manunuzi ya umma
 
Na wewe tuwekee nyaraka za manunuzi zikiwa zimefuata utaratibu wa sheria ya manunuzi ya umma
Kwenye Sheria tunasema "....who alleges must prove..."
Ww ukileta tuhuma unapaswa kuithibitisha. Ndio maana ukisema fulani kaniibia au fulani kanitukana unapaswa kuonyesha ndio huyo mtu anatafutwa sasa ajibu tuhuma zako.
Hivyo mleta mada ilipaswa aonyeshe ushahidi, ndio huyo mhidze ashtakiwe
 
Kama ni kweli hiyo ni shida Sana,ikiwa mwanajeshi wa daraja la juu anakuwa si mzalendo,Nani atakua!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…