Major General Mhidze aliyekuwa MSD apelekwe kwenye Court Martial

Major General Mhidze aliyekuwa MSD apelekwe kwenye Court Martial

Mmepaka wasomi matope ya siasa ,mmepaka polisi matope ya siasa na Sasa mnawapaka matope jeshi letu linaloheshimiwa na watanzania
Matope kampaka nani? Rushwa achukue yeye Mjeshi halafu sisi ndiyo unatuambia tumempaka matope.
 
Inamana kiwanda kipo kijijini kwao Lupembe??Embu fafanuwa! Maana kati ya Watanzania waaminifu na wazalendo kama Nyerere huyu ni mmoja wao na isitoshe Wanajeshi wapo kuilinda na kupigania ustawi wa nchi na watu wake. Sijawai sikia kuna Mwanajeshi amekamatwa kwa Ubadilifu ata siku moja.Kumbuka mpaka mkataba unasainiwa ni zaidi ya mwaka kama sio miaka- yeye ni msaini mikataba walio chini yake ndo wanaofaidika na all bad deals jua hilo. Tender Board na watu wa kitengo cha manunuzi wanawaangushia Ma MD majumba mabovu kila kukicha. Kwa huyu Jamaa nakataa kama alikuwa Ntu wa Dilli namfahamu na najua how serious alivyo
Nenda pale Idofi kabla ya kufika Makambako ukitokea Mafinga, utakiona
 
si bora huyo wa kwako unakutuma kunya jikoni 24hrs.
Ninyi S. Gang mumepata wa kumsimanga wakati wa utawala wa Punguwani mlikuwa mumezificha Korodani zenu ndani kabisa huku Mkiabudu tu,Jemadari Tundu Lissu akiunguruma sasa mumempata Samia ndio mnajifanya Vidume Cowards.
 
Ninyi S. Gang mumepata wa kumsimanga wakati wa utawala wa Punguwani mlikuwa mumezificha Korodani zenu ndani kabisa huku Jemadari Tundu Lissu akiunguruma sasa mumempata Samia ndio mnajifanya Vidume Cowards.
Wakosoaji kila utawala wanaibuka, hii ni ngumu kuizuia. Ni kweli wapo wa utawala uliopita waliofaidika na sasa hawafaidiki hivyo wameamua kukosoa.
Na hata wapo wanaofaidika Sasa, akija mwingine akiwaweka pembeni wataanza kumkosoa. Ndio watu wa ccm walivyo.
 
Mhidze ni majina yenye asili ya nchi flani upande wa afrika masahariki...😂

Jamaa alikuwa mkabila kweli kweli,huyo mjeda unaweza kukuta ni mtoto wa Shangazi yake.
 
Wakosoaji kila utawala wanaibuka, hii ni ngumu kuizuia. Ni kweli wapo wa utawala uliopita waliofaidika na sasa hawafaidiki hivyo wameamua kukosoa.
Na hata wapo wanaofaidika Sasa, akija mwingine akiwaweka pembeni wataanza kumkosoa. Ndio watu wa ccm walivyo.
Swadakta! hayo maneno.
 
Kuna watu wanakesha usiku na mchana hapa kulinda Legacy feki, hili Taifa hili!

Yote haya yamesababishwa na yule Punguwani kuweka Majeshi kwenye Taasisi.

Hao ndio majenerali wa Mwendazake, watu wa “legacy”.

Si jiwe alisema 'wajeda' ndo waaminifu?

Halafu mahakama ya mafisadi si ipo?

Kama bado ipo, ndiyo size ya huyo Mhidze

Ni watu waliowekwa na Punguwani wako na kutuaminisha kuwa sio wapigaji.
Magufuli alikuwepo hiyo August 2021?
 
Magufuli alikufa 2020 wewe unamhusisha na ufisadi wa 2021????
Mdau, kama hujui Mzee Magufuli alifariki lini, bora ukae kmy.

Tulivyoadhimisha mwaka mmoja wa kifo chake majuzi tulikosea kumbe ilikuwa maadhimisho ya miaka miwili ya kifo chake?
 
Matope kampaka nani? Rushwa achukue yeye Mjeshi halafu sisi ndiyo unatuambia tumempaka matope.
Sijamaanisha nyie Bali mamlaka za uteuzi kuwateua wajeda Ni hatari ya kuwapaka matope ya siasa waachwe wafanye kazi za kada zao au Kama wamestaafu waachwe wacheze na wajukuu zao....
 
Hicho kiwanda kajenga wapi Kijiji kipi wilaya ipi
 
Back
Top Bottom