Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 13,417
- 23,310
Mzizi wa matatizo ya MSD ni Major General Gabriel Mhidze aliyepekwa pale mwaka 2020 na Hayati Magufuli. Pamoja na kashfa ya matumizi mabaya ya fedha za UVIKO, kuna hizi 3 nazo lazima zifuatiliwe na TAKUKURU;
1. Mmamo August 2021 alilipa USD 1.5 Million kwa Kampuni ya Misri ambayo ni hewa. Hata utaratibu wa zabuni haukufanyika katika kuwapata ma supplier hao. Fedha zimepotea na hazitapatikana
2. Amejenga kiwanda cha MSD cha kutengeneza gloves kijijini kwake kwa thamani ya zaidi Tsh 35 Bilion bila Kufuata sheria ya MSD
Kiwanda kipo kwenye shamba la Familia ambalo MSD imelinunua bila taratibu za zabuni.
Wanaweza wakawakamata vidagaa na kuwapeleka TAKUKURU lakini tatizo limesabanishwa na Major General mwenyewe. Aliwahamishia wizara nyingine wafanyakazi wote waliokuwa wanampinga anapovunja sheria.
Ni wakati sasa JWTZ wakampeleka akakabiliane na Mahakama ya Jeshi (Court Martial)

- Sheria ya Manunuzi
- Hakuna Kibali cha Wizara wala Bodi