Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni fitna tu.....Kuna majungu na fitina yanapikwa dhidi ya Waziri wa Nishati mhe. January Makamba, nauliza nani au kikundi gani kipo ktk kupanga majungu hayo dhidi ya Makamba?
Hoja zinazo tolewa dhidi ya Makamaba ni za kipuuzi na zilizo jaa chuki dhidi ya Makamba binafsi.
Hii tabia ya watanzania kufitiniana na kupigana majungu kwa chuki binafsi itatuchelewesha sana.
tuache wivu wa usio na maana.
January tunamuomba aendelee kupiga kazi achane kabisa na kelele za vyura.
Tunamuomba Mhe. Rais kamwe asikubali kusikiliza majungu na fitina dhidi ya mawaziri waaminifu na wachapa kazi.
Chukua soda kwa Mangi mkuu, mimi nitalipa.Wewe acha kutafuta Huruma hapa JF, Kwa kifupi huyo JM mnayempigia upatu ni anabebwa na jina la Mzee wake. Hana maaajabu yoyote kwenye Utendajikazi wake ni mweupe kabisaaa. Halafu Hawa watoto mlioenda kuwasomesha nje ya Nchi sjui Ulaya na America dizain ya huyu Mswanglish na Uongozi wa Nchi zetu za Dunia ya 3 hawawezi hata kuongoza kwenye ngazi ya Kata sembuse kuongoza Wizara??
Huyo Bw. Mdogo amewekwa kulinda Maslahi ya Wala Nchi ili IPTL and the like warudi kuliiibia Taifa. Matokeo yake tushaanza kuyaona.
Kwani mmewasajili Ili mkawatese, tunawaambia warudi nyumbani kumenoga, kusajiliwa sio kuteswa rudini nyumbani warembo.Hata Ufipa ndio maana Halima Mdee na wenzake wanateseka!
Wanajitesekea wenyewe!Kwani mmewasajili Ili mkawatese, tunawaambia warudi nyumbani kumenoga, kusajiliwa sio kuteswa rudini nyumbani warembo.
Tunamuomba Rais wetu Samia kamwe asikubali kuyumbishwa wala kubabishwa na makelele ya VYURA.Ni fitna tu.....
Angalia hili.....
Wameeneza uongo kuwa mkurugenzi wa TPDC ndiye mwenye mamlaka ya kuisemea STOCK ya mafuta mbali kabisa na UHALISIA wa mhusika ambaye ni KAMISHNA WA PETROLI NA EWURA [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nchi ngumu hii ......
sasa ulitaka Makamba atoe umeme mfukoni mwake?!Nayeye ameanza kuwapa posho mumsafishe? Inamaaa hajui kwamba umeme unakatwa au
Ngoja atatimua Watendaji wa TANESCO WOTE wale wanao muhujumu wanafahamika.Kwani uongo??,Ni dhahiri shairi kuwa jamaa Wizara imemshinda,kila Siku umeme unakatika, Mbona enzi za Kalemani ishu hizo hazikuwepo??.
Kuna majungu na fitina yanapikwa dhidi ya Waziri wa Nishati mhe. January Makamba, nauliza nani au kikundi gani kipo ktk kupanga majungu hayo dhidi ya Makamba?
Hoja zinazo tolewa dhidi ya Makamaba ni za kipuuzi na zilizo jaa chuki dhidi ya Makamba binafsi.
Hii tabia ya watanzania kufitiniana na kupigana majungu kwa chuki binafsi itatuchelewesha sana.
tuache wivu wa usio na maana.
January tunamuomba aendelee kupiga kazi achane kabisa na kelele za vyura.
Tunamuomba Mhe. Rais kamwe asikubali kusikiliza majungu na fitina dhidi ya mawaziri waaminifu na wachapa kazi.
Ndiyo kakutuma uje kumtetea kijinga namna hii!!Kuna majungu na fitina yanapikwa dhidi ya Waziri wa Nishati mhe. January Makamba, nauliza nani au kikundi gani kipo ktk kupanga majungu hayo dhidi ya Makamba?
Hoja zinazo tolewa dhidi ya Makamaba ni za kipuuzi na zilizo jaa chuki dhidi ya Makamba binafsi.
Hii tabia ya watanzania kufitiniana na kupigana majungu kwa chuki binafsi itatuchelewesha sana.
tuache wivu wa usio na maana.
January tunamuomba aendelee kupiga kazi achane kabisa na kelele za vyura.
Tunamuomba Mhe. Rais kamwe asikubali kusikiliza majungu na fitina dhidi ya mawaziri waaminifu na wachapa kazi.
Ngoja atatimua Watendaji wa TANESCO WOTE wale wanao muhujumu wanafahamika.
siku zao zinahesabika.
Tunamuomba Rais wetu Samia kamwe asikubali kuyumbishwa wala kubabishwa na makelele ya VYURA.
Lini?, Mbona kuna siku aliwahi kusema hivyo lkn Naona wembe ni ule ule.Ngoja atatimua Watendaji wa TANESCO WOTE wale wanao muhujumu wanafahamika.
siku zao zinahesabika.
mimi huwa situmwi na wala hakuna wa kunituma, pia huwa singoji kutumwa bali najituma mwenyewe kama mzalendo kwa Nchi yangu na kwa viongozi wangu.Ndiyo kakutuma uje kumtetea kijinga namna hii!!
1. Unakumbuka alimwita katibu mkuu wake aende ofcn kwake kujieliza kwamba ni kwa nini ametoa taarifa ya uongo kwamba kuna upungufu wa maji katika mabwawa ya umeme. Je hiyo taarifa ya katibu ilikuwa ni ya uongo?
2. Unakumbuka alitwit kwamba tatizo la umeme linalojitokeza sasa ni kwa sababu ya ubovu wa mitambo. Kwamba awamu ya 5 mafundi waliogopa kuzima mitambo ya umeme ili kuifanyia matengezo kwa kuhofia kutumbuliwa. Je ni kweli kwamba tatizo lililopo la umeme chanzo ni ubovu wa mitambo?
Ukipata majibu ya maswali hayo utaacha tabia ya kijipendekeza kijinga. Na kama wewe ni ME wazazi wako wana hasala.