Konseli Mkuu Andrew
JF-Expert Member
- May 10, 2013
- 749
- 875
unatoa hii post ukitokea ughaibuni? ungekuwa hapa Tanzania basi ungeungana na wanaomlalamikia huyo Waziri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukoo wa panya huwa na tabia za kufananaKuna majungu na fitina yanapikwa dhidi ya Waziri wa Nishati mhe. January Makamba, nauliza nani au kikundi gani kipo ktk kupanga majungu hayo dhidi ya Makamba?
Hoja zinazo tolewa dhidi ya Makamaba ni za kipuuzi na zilizo jaa chuki dhidi ya Makamba binafsi.
Hii tabia ya watanzania kufitiniana na kupigana majungu kwa chuki binafsi itatuchelewesha sana.
tuache wivu wa usio na maana.
January tunamuomba aendelee kupiga kazi achane kabisa na kelele za vyura.
Tunamuomba Mhe. Rais kamwe asikubali kusikiliza majungu na fitina dhidi ya mawaziri waaminifu na wachapa kazi.
Hapo kuna picha tu ya waziri. Soma hayo mzungu yake dhidi ya JPMmimi huwa situmwi na wala hakuna wa kunituma, pia huwa singoji kutumwa bali najituma mwenyewe kama mzalendo kwa Nchi yangu na kwa viongozi wangu.
Nikiwa Mkiristu safi nafundishwa ktk Biblia kutii Mamlaka.
Sipendi kuona viongozi wakichafuliwa bila sababu zaidi ya chuki binafsi.
Hayo mambo ya kiutawala wa ndani siwezi kuyajua.
kila ofisi ina utaratibu wake wa kutoa habari.
Tuache kumchafua Makamba kwa chuki binafsi na dhana zisizo za msingi, tumuache achape kazi, kama kuna tatizo tumshauri kwa masilahi ya Nchi.
wazazi wako wana hasala ## hasara. Ulikuwepo wakati ana mwita Katibu Mkuu ofisini kwake?. Fabrication [emoji2][emoji2]Ndiyo kakutuma uje kumtetea kijinga namna hii!!
1. Unakumbuka alimwita katibu mkuu wake aende ofcn kwake kujieliza kwamba ni kwa nini ametoa taarifa ya uongo kwamba kuna upungufu wa maji katika mabwawa ya umeme. Je hiyo taarifa ya katibu ilikuwa ni ya uongo?
2. Unakumbuka alitwit kwamba tatizo la umeme linalojitokeza sasa ni kwa sababu ya ubovu wa mitambo. Kwamba awamu ya 5 mafundi waliogopa kuzima mitambo ya umeme ili kuifanyia matengezo kwa kuhofia kutumbuliwa. Je ni kweli kwamba tatizo lililopo la umeme chanzo ni ubovu wa mitambo?
Ukipata majibu ya maswali hayo utaacha tabia ya kijipendekeza kijinga. Na kama wewe ni ME wazazi wako wana hasala.
Ndiyo maana mama yako akakuzaa nje ya ndoa. Huelewi kama kuna vyombo vya habari.wazazi wako wana hasala ## hasara. Ulikuwepo wakati ana mwita Katibu Mkuu ofisini kwake?. Fabrication [emoji2][emoji2]
Mtu mwenyewe kiuno saizi ya Wabogojo kapewa pensi ya Pepe Kale, uwezo wake ndio umeishia hapo.Kuna majungu na fitina yanapikwa dhidi ya Waziri wa Nishati mhe. January Makamba, nauliza nani au kikundi gani kipo ktk kupanga majungu hayo dhidi ya Makamba?
Hoja zinazo tolewa dhidi ya Makamaba ni za kipuuzi na zilizo jaa chuki dhidi ya Makamba binafsi.
Hii tabia ya watanzania kufitiniana na kupigana majungu kwa chuki binafsi itatuchelewesha sana.
tuache wivu wa usio na maana.
January tunamuomba aendelee kupiga kazi achane kabisa na kelele za vyura.
Tunamuomba Mhe. Rais kamwe asikubali kusikiliza majungu na fitina dhidi ya mawaziri waaminifu na wachapa kazi.
Mkuu amekutuma umsemee au wewe ndiye Makamba mwenyewe unayetaka kujikosha matope uliyoyavagaa?Kuna majungu na fitina yanapikwa dhidi ya Waziri wa Nishati mhe. January Makamba, nauliza nani au kikundi gani kipo ktk kupanga majungu hayo dhidi ya Makamba?
Hoja zinazo tolewa dhidi ya Makamaba ni za kipuuzi na zilizo jaa chuki dhidi ya Makamba binafsi.
Hii tabia ya watanzania kufitiniana na kupigana majungu kwa chuki binafsi itatuchelewesha sana.
tuache wivu wa usio na maana.
January tunamuomba aendelee kupiga kazi achane kabisa na kelele za vyura.
Tunamuomba Mhe. Rais kamwe asikubali kusikiliza majungu na fitina dhidi ya mawaziri waaminifu na wachapa kazi.
Halafu timu yake yote wamenyoa vipara![emoji3525]View attachment 2017434
Hatuna waziri pale ,tumepigwa huo ndo ukweli.Kuna majungu na fitina yanapikwa dhidi ya Waziri wa Nishati mhe. January Makamba, nauliza nani au kikundi gani kipo ktk kupanga majungu hayo dhidi ya Makamba?
Hoja zinazo tolewa dhidi ya Makamaba ni za kipuuzi na zilizo jaa chuki dhidi ya Makamba binafsi.
Hii tabia ya watanzania kufitiniana na kupigana majungu kwa chuki binafsi itatuchelewesha sana.
tuache wivu wa usio na maana.
January tunamuomba aendelee kupiga kazi achane kabisa na kelele za vyura.
Tunamuomba Mhe. Rais kamwe asikubali kusikiliza majungu na fitina dhidi ya mawaziri waaminifu na wachapa kazi.
We nawe mlamba viatu kama wale wengine tu,sasa aendelee kupinga kazi ipi wakati kazi yake inatia hasara hukuKuna majungu na fitina yanapikwa dhidi ya Waziri wa Nishati mhe. January Makamba, nauliza nani au kikundi gani kipo ktk kupanga majungu hayo dhidi ya Makamba?
Hoja zinazo tolewa dhidi ya Makamaba ni za kipuuzi na zilizo jaa chuki dhidi ya Makamba binafsi.
Hii tabia ya watanzania kufitiniana na kupigana majungu kwa chuki binafsi itatuchelewesha sana.
tuache wivu wa usio na maana.
January tunamuomba aendelee kupiga kazi achane kabisa na kelele za vyura.
Tunamuomba Mhe. Rais kamwe asikubali kusikiliza majungu na fitina dhidi ya mawaziri waaminifu na wachapa kazi.
yani ummeamua ku create mgao wa umeme ili muanze project zenu za gesi asilia wakati bwawa hamjamaliza na mnataka kuli abandone hii kitu itawagalimu sanaKuna majungu na fitina yanapikwa dhidi ya Waziri wa Nishati mhe. January Makamba, nauliza nani au kikundi gani kipo ktk kupanga majungu hayo dhidi ya Makamba?
Hoja zinazo tolewa dhidi ya Makamaba ni za kipuuzi na zilizo jaa chuki dhidi ya Makamba binafsi.
Hii tabia ya watanzania kufitiniana na kupigana majungu kwa chuki binafsi itatuchelewesha sana.
tuache wivu wa usio na maana.
January tunamuomba aendelee kupiga kazi achane kabisa na kelele za vyura.
Tunamuomba Mhe. Rais kamwe asikubali kusikiliza majungu na fitina dhidi ya mawaziri waaminifu na wachapa kazi.
Kuna majungu na fitina yanapikwa dhidi ya Waziri wa Nishati mhe. January Makamba, nauliza nani au kikundi gani kipo ktk kupanga majungu hayo dhidi ya Makamba?
Hoja zinazo tolewa dhidi ya Makamaba ni za kipuuzi na zilizo jaa chuki dhidi ya Makamba binafsi.
Hii tabia ya watanzania kufitiniana na kupigana majungu kwa chuki binafsi itatuchelewesha sana.
tuache wivu wa usio na maana.
January tunamuomba aendelee kupiga kazi achane kabisa na kelele za vyura.
Tunamuomba Mhe. Rais kamwe asikubali kusikiliza majungu na fitina dhidi ya mawaziri waaminifu na wachapa kazi.
Wasukuma,na watu wa dini, na Kuna kikundi kinalipwa na Karriman kumchafua makambajrKuna majungu na fitina yanapikwa dhidi ya Waziri wa Nishati mhe. January Makamba, nauliza nani au kikundi gani kipo ktk kupanga majungu hayo dhidi ya Makamba?
Hoja zinazo tolewa dhidi ya Makamaba ni za kipuuzi na zilizo jaa chuki dhidi ya Makamba binafsi.
Hii tabia ya watanzania kufitiniana na kupigana majungu kwa chuki binafsi itatuchelewesha sana.
tuache wivu wa usio na maana.
January tunamuomba aendelee kupiga kazi achane kabisa na kelele za vyura.
Tunamuomba Mhe. Rais kamwe asikubali kusikiliza majungu na fitina dhidi ya mawaziri waaminifu na wachapa kazi.
Kaleeemani anawalipa mumchafue Rais, na January pianyuma yake upo wewe kumsifia mpuuzi mwenzio
We endelea kuperemba na kusugua mikalio yako huku watui tunachapa kazi.Ndiyo maana mama yako akakuzaa nje ya ndoa. Huelewi kama kuna vyombo vya habari.
Ni wapuuzi wa msukule MwendazakeKuna majungu na fitina yanapikwa dhidi ya Waziri wa Nishati mhe. January Makamba, nauliza nani au kikundi gani kipo ktk kupanga majungu hayo dhidi ya Makamba?
Hoja zinazo tolewa dhidi ya Makamaba ni za kipuuzi na zilizo jaa chuki dhidi ya Makamba binafsi.
Hii tabia ya watanzania kufitiniana na kupigana majungu kwa chuki binafsi itatuchelewesha sana.
tuache wivu wa usio na maana.
January tunamuomba aendelee kupiga kazi achane kabisa na kelele za vyura.
Tunamuomba Mhe. Rais kamwe asikubali kusikiliza majungu na fitina dhidi ya mawaziri waaminifu na wachapa kazi.
Kazi bila Majungu haiendiKuna majungu na fitina yanapikwa dhidi ya Waziri wa Nishati mhe. January Makamba, nauliza nani au kikundi gani kipo ktk kupanga majungu hayo dhidi ya Makamba?