Majungu na fitina dhidi ya Waziri wa Nishati nani yupo nyuma?

Ukoo wa panya huwa na tabia za kufanana
 
Hapo kuna picha tu ya waziri. Soma hayo mzungu yake dhidi ya JPM

View attachment 2017633
 
wazazi wako wana hasala ## hasara. Ulikuwepo wakati ana mwita Katibu Mkuu ofisini kwake?. Fabrication [emoji2][emoji2]
 
Mtu mwenyewe kiuno saizi ya Wabogojo kapewa pensi ya Pepe Kale, uwezo wake ndio umeishia hapo.
 
Mkuu amekutuma umsemee au wewe ndiye Makamba mwenyewe unayetaka kujikosha matope uliyoyavagaa?

Hivi kuna kiongozi Tz anapendwa kwa sura ama wajihi?

Mapenzi ama chuki za raia kwa kiongozi yeyote hutokana na utendaji kazi wake.

Kwa mfano, kwa nafasi ya Makamba, kiongozi aliyemtangulia ulisikia kuna kelele za wananchi?

Sababu huduma katika wizara hiyo zilikuwa bora na za kuridhisha.

Lakini alivyoingia yeye, tayari makando kando yakaanza kujitokeza, kuanzia kauli na utendaji wake.

Hata wewe unaye mpigia kampeni hapa ni shahidi, hali ya umeme ilivyo tete nchini, ni nani wa kulaumiwa sasa!

Nilitegemea wewe uliyekuja kumpaka mafuta hapa utueleze kwanza yeye hahusiani vipi na huu mgao wa hovyo wa umeme, maana nchi nzima imekasirika kutokana na adha wanayoipata watu na sababu zinazotolewa ni za kishenzi.

Kukatizwa kwa umeme kumesababisha hata sehemu zisizokuwa na shida ya maji, nao waanze mgao wa maji kutokana na mitambo inayosukuma maji kutegemea nishati ya umeme.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatuna waziri pale ,tumepigwa huo ndo ukweli.
 
We nawe mlamba viatu kama wale wengine tu,sasa aendelee kupinga kazi ipi wakati kazi yake inatia hasara huku
 
yani ummeamua ku create mgao wa umeme ili muanze project zenu za gesi asilia wakati bwawa hamjamaliza na mnataka kuli abandone hii kitu itawagalimu sana
 

nyuma yake upo wewe kumsifia mpuuzi mwenzio
 
Wasukuma,na watu wa dini, na Kuna kikundi kinalipwa na Karriman kumchafua makambajr
 
Ni wapuuzi wa msukule Mwendazake
 
Vimalaika vya yule Blackman vinapigapiga mateke ya mwisho mwishoπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Kazi bila Majungu haiendi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…