Majungu na fitina dhidi ya Waziri wa Nishati nani yupo nyuma?

 
 
Kazi gani wakati umeme hakuna??
Kama maji kwa matumizi ya nyumbani mnapata kwa mgao kwasababu ya ukame,na umeme unategemea maji,hivi mnataka waziri umeme autoe wapi?

Mitambo ya gesi nayo mmeambiwa mmeiendesha pasipo service kwa muda mrefu ili mpigiwe makofi,
Hemu ficheni ujinga wenu!
 
Ingependeza km ungeoridhesha hayo majungu na fitna zinapigwa juu yake ungeonekana wa maana kidogo, ila sasa we ulichoandika ndo majungu
 
Ww mtoa mada ni mnafiki au huko kwenu umeme upo full time?,naona mnakula mnasubiria ten percent ya winnchi ya tan 26[emoji1787][emoji3]
 
THE GANG,ANAKATA MIRIJA YA WATU.
 
kuchafuana ndio imekuwa tabia ya Watanzania walio wengi, na Tabia hii imeeenea kila mahali, sio tu kwa mawaziri bali tabia hiyo imeshamiri maofisini hasa ktk ofisi za umma.

watu wanachafuana sana huko, yaani ni mwendo wa kuangushana ili mwengine apande.

Jambo la msingi ni kwa viongozi wenye dhamana wawe waangalifu ktk kuchukua hatua, wasi sikilize majungu.

majungu yanaharibu na kuwapoteza watendaji wazuri na waadilifu.
 
Hizi tred za makamba ni nyingi sana hapa Jf kwa sasa. Bahati mbaya utendaji wake mbovu habebeki. Akijibu hoja zote hizi mnistue.
 
Wewe ni hawara yake??, Mbona unamkingia kifua ili hali ni kweli ameshindwa kabisa kuisimamia wizara hiyo?!!.Watu km wewe ndio mnasababisha nchi hii isipige hatua za kimaendeleo.


[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huwezi amini hanijui wala simjui isipokuwa naridhishwa na utendaji kazi wale always including swala la kukomesha matumizi ya mifuko ya plastics nchini wakati kwa miaka mingi ikishindikana!

Namuonaga kwenye magazeti, TV, na mitandao ya kijamii tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…