Majungu na fitina dhidi ya Waziri wa Nishati nani yupo nyuma?

Anachapa kazi gani?
 
Majungu gani na fitina mzee ? upandacho duniani utalipwa kwa kipimo kile kile jinsi walivyompiga majungu jpm kama kina kigogo 2014,mange kimambi na huyo wanaemwita Tobias marandu malipo ni hapa hapa duniani
 
angalia Mhe. Waziri anavyo pambana kwa ajili ya watanzania.
Muda wote yupo field sio ofisini.
 
Sasa kuongea ndio utendaji kazi sisi tunataka umeme uwake na ushuke bei mambo ya misoga na visasili
vipi mzee ulitaka ashike spana?[emoji1787][emoji1787]
angalia hapo yupo kwenye mapambano.

mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
 
Usilete ujinga kwenye maisha ya wengi.....Ina maana hujui kuwa umeme umeshikilia maisha ya watu?

Hujui kwamba Kuna watu biashara zao zinategemea umeme?

Hujui kuwa huduma hii tunailipia lakini pia Tanesco inaendeshwa kwa Kodi ya walala hoi?

Unafikiri Tanesco ni ya ukoo wa waziri tuhudumiwe wanavyojisikia?

Kwanini waziri aingie ndio choko zianze?

Unafikiri watanzania ni wajinga hawaoni upumbavu unaoendelea?
Mpuuzi kabisa wewe.
 
punguza chuki mkuu.
waziri anafanya kazi kubwa sana ya kuhakikisha kero zote zinaondoka.
 
Bwana Makamba tumekusikia
hatutaki mgao
 
Bwana Makamba tumekusikia
hatutaki mgao
hakuna yeyote anaye penda mgao.
Jitihada anazo zifanya Waziri na Serikali kwa ujumla ni kuhakikisha nchi yetu inakuwa na nishati ya kutosha na ya uhakika lkn pia gharama itapungua sana.
hapo sasa uchumi wa nchi utapaa zaidi.
tuzidi kumuombea Mungu.
 
Anafanya kazi nzuri, kukata umeme bila maelezo, kuongea bila vitendo, kutoa takwimu za mafuta bila kuwa na vielelezo, safi sana
 
yupo kazini kuhakikisha changamoto zote zinakwisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…