Majunio Wanazingua

Analeta mzaha kwenye mada ya watoto!!?
Mwambie basi akome unapogusa watoto umegusa kitu kikubwa sana, watoto sio wa kufanyia mzaha, atafute kitu kingine na sio watoto,

Sipendi mtu anayesema/kupiga watoto tunaona mengi kwenye hizi jamii unaweza kuona nimekuza ila trust me siku zote adui yako akitaka kukuumiza anatumia watoto wako, kwa hiyo kubaka/kulawiti/kuroga (kama mtu ana imani hiyo)/ kuteka, n.k hutumia watoto wako kwani anajua ujanja wako wote kwisha,

Mfano mzuri hata hawa matajiri, watoto wana ulinzi mkali kuliko wao sababu wanajua wakiguswa watoto wao hawana ujanja tena,

Tuwapende na kuwalinda watoto haijalishi, suala la malezi kila mtu na mtazamo wake ukitaka mtu alee mwanae unavyotaka wewe ni kuingilia uhuru wa mzazi kikubwa sheria isivunjwe.
 
Asiyefunzwa na mama atafunzwa na ulimwengu

Leo jamii imejaa watoto na vijana wa hovyo na wasio na adabu ukirudi nyuma chanzo ni malezi mabaya kutoka kwa wazazi
 
Haina shida sister, hongera kwa malezi mazuri. Vipi lakini wajomba zetu akina Junya wanaendeleaje?
 
Watoto wa hivyo wakikua huwa wanaona maisha magumu sana kuhamia kwenye Ushoga na usagaji
 
Wewe sio FREEMASONRY na huna ujuacho kuhusu FREEMASONRY sema unaleta janja janja ili utapeli watu humu JF.
mimi sipo JF kwa ajili ya kutapeli mtu hebu uliza members wote humu Kama wameshawahi kutapeliwa, au nikuonyeshe PM messages watu wanaomba kuunganishwa na Mimi nimewaambia siunganishi mtu.

Freemasonry haunganishwi kupitia mitandao ya kijamii Bali unaomba dua kwa mhusika unae mfahamu Tena vyema uwe na uhakika nae akuombee ruhusa ujiunge nao, au unaweza kwenda katika lodge zao, siku ya jumatatu na ijumaa hasa mwisho wa mwezi na kuomba kuonana na grand master Mason. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

umenielewa ndugu yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…