Kommando muuza madafu
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 3,216
- 7,254
Wewe sio FREEMASONRY na huna ujuacho kuhusu FREEMASONRY sema unaleta janja janja ili utapeli watu humu JF.Utapata vingi zaidi ya pesa, sababu pesa hainunui kila kitu. ๐๐๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe sio FREEMASONRY na huna ujuacho kuhusu FREEMASONRY sema unaleta janja janja ili utapeli watu humu JF.Utapata vingi zaidi ya pesa, sababu pesa hainunui kila kitu. ๐๐๐
๐ฏ๐คJikute kim kardashian kuwalea watoto kimarekan utakuja kuilaumu jamii miaka ijayo
Analeta mzaha kwenye mada ya watoto!!?Aiseeee, umeandika kitu cha hovyo kwa kweli. Sidhani kama jamaa yupo serious katika hili zaidi ya kutuchangamsha tu. Pia si kweli mambo kama haya yanasababisha ubakaji au ulawiti kwa watoto. Pamoja na mzaha wa muanzisha uzi, ila wazazi wa kileo mnatakiwa kuwalea na kuwafundisha watoto wenu miiko na maadili kwenye malezi na makuzi yao pia namna ya kuishi na watu na wageni wafikapo kwao na sio kuwaacha watoto wawe huru kama vifaranga vya kambare.
Ila samahani, we si ndio yule unayesemaga huku mwanao akikosea unamnyima kumuonesha video za katuni kwenye simu?
Haina shida sister, hongera kwa malezi mazuri. Vipi lakini wajomba zetu akina Junya wanaendeleaje?Analeta mzaha kwenye mada ya watoto!!?
Mwambie basi akome unapogusa watoto umegusa kitu kikubwa sana, watoto sio wa kufanyia mzaha, atafute kitu kingine na sio watoto,
Sipendi mtu anayesema/kupiga watoto tunaona mengi kwenye hizi jamii unaweza kuona nimekuza ila trust me siku zote adui yako akitaka kukuumiza anatumia watoto wako, kwa hiyo kubaka/kulawiti/kuroga (kama mtu ana imani hiyo)/ kuteka, n.k hutumia watoto wako kwani anajua ujanja wako wote kwisha,
Mfano mzuri hata hawa matajiri, watoto wana ulinzi mkali kuliko wao sababu wanajua wakiguswa watoto wao hawana ujanja tena,
Tuwapende na kuwalinda watoto haijalishi, suala la malezi kila mtu na mtazamo wake ukitaka mtu alee mwanae unavyotaka wewe ni kuingilia uhuru wa mzazi kikubwa sheria isivunjwe.
Watoto wa hivyo wakikua huwa wanaona maisha magumu sana kuhamia kwenye Ushoga na usagajiMimi ilikua 2005 Nilienda kutembea tu mara moja kwa ndugu flani hivi alikua na kacheo police walikua wanakata kota Ila za kishua.
Yule mtoto wake si akaanza kunipiga. Bila sababu dogo akawa anapiga piga kinoma, dada yake anamkataza lakini dogo ndio anazidisha
Yule mtoto alilelewa kiujinga Sana, nilibaki najiuliza hawa wazazi wake wanakubali vipi anakua na tabia mbovu vile? Mama yake alikua ni mtu mwenye dharau, majivuno na wa ajabu sana
mimi sipo JF kwa ajili ya kutapeli mtu hebu uliza members wote humu Kama wameshawahi kutapeliwa, au nikuonyeshe PM messages watu wanaomba kuunganishwa na Mimi nimewaambia siunganishi mtu.Wewe sio FREEMASONRY na huna ujuacho kuhusu FREEMASONRY sema unaleta janja janja ili utapeli watu humu JF.