nzoka boy
JF-Expert Member
- Oct 14, 2017
- 1,165
- 1,038
0682217699Dah, nipeni namba yake nimshauri kitu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
0682217699Dah, nipeni namba yake nimshauri kitu
Mbona Wema hajuti kuifahamu chadema!View attachment 727807
Huyu dada baada ya kuingia kwenye siasa za majungu za UVCCM, wananchi kwa umoja wao waliamua kuachana na bidhaa zake za " KIDOTI " zikiwemo rasta na mawigi , kwa wakati ule haikumgusa sana kwa vile bado alitambulika kama kiongozi ndani ya UVCCM ( Taasisi ya vijana inayosifika kwa rushwa kwenye eneo la maziwa makuu ).
Sasa baada ya kutimuliwa mithili ya nyau aliyekunywa maziwa ya mtoto njiti, hali yake ni tete mno! Walio karibu naye wanasimulia jinsi alivyokumbwa na msongo wa mawazo.
Ukisoma vizuri maandiko matakatifu utaelewa kwamba hata siku moja Mungu hataniwi, huyu akifahamu kwamba CCM ndiye adui wa wateja wa bidhaa zake akaamua kuungana nayo kitu kilichosababisha kifo chake kisiasa na kiuchumi.
Pole dada.
Soma zaidi hapa; Mwenyekiti UVCCM, Kheri James ametengua Uteuzi wa Kaimu Katibu Idara ya Uhamasishaji, Jokate Mwegelo
Plus,Diamond, original comedy,dr shika,Anton Diallo,Mange,Shigongo,Marlow mzee wa pii..pii.bongo movies,nk walishatumika na ccmiz wakabwagwa.Hivo awe mpole,watamkumbuka hata ukuu wa wilaya asife moyo.Kisha wapa tamu wamemtosa!ccm wanakuona wama aana wanapotaka kitu kwako wakishapata wanakutupa muulize manji na kagoda yake
motoooooccm ya sasa haina mwenyewe...ukijifanya kuvimba kichwa watakushughurikia alafu utaikimbia hadi rangi ya kijani ya mazao ya biashara
Shauri zao,Ccm ya sasa ni ya makufuli na makondakta wengine ni Bendera kufuata upepo.
ukweli ni kwamba huyu mtu akiondoka ccm italipuka kwa furaja nchi nzima , huyu mtu hapendwi sijapata kuona ! kikwete aneua kabisa ccm .Shauri zao,
Wengine wanampenda Malaika balaaa.
Watu wana zambi sanaKisha wapa tamu wamemtosa!ccm wanakuona wama aana wanapotaka kitu kwako wakishapata wanakutupa muulize manji na kagoda yake