Majuto ni mjukuu: Jokate anajuta kuifahamu CCM

Majuto ni mjukuu: Jokate anajuta kuifahamu CCM

View attachment 727807
Huyu dada baada ya kuingia kwenye siasa za majungu za UVCCM, wananchi kwa umoja wao waliamua kuachana na bidhaa zake za " KIDOTI " zikiwemo rasta na mawigi , kwa wakati ule haikumgusa sana kwa vile bado alitambulika kama kiongozi ndani ya UVCCM ( Taasisi ya vijana inayosifika kwa rushwa kwenye eneo la maziwa makuu ).

Sasa baada ya kutimuliwa mithili ya nyau aliyekunywa maziwa ya mtoto njiti, hali yake ni tete mno! Walio karibu naye wanasimulia jinsi alivyokumbwa na msongo wa mawazo.

Ukisoma vizuri maandiko matakatifu utaelewa kwamba hata siku moja Mungu hataniwi, huyu akifahamu kwamba CCM ndiye adui wa wateja wa bidhaa zake akaamua kuungana nayo kitu kilichosababisha kifo chake kisiasa na kiuchumi.

Pole dada.


Soma zaidi hapa; Mwenyekiti UVCCM, Kheri James ametengua Uteuzi wa Kaimu Katibu Idara ya Uhamasishaji, Jokate Mwegelo
Mbona Wema hajuti kuifahamu chadema!
 
Kisha wapa tamu wamemtosa!ccm wanakuona wama aana wanapotaka kitu kwako wakishapata wanakutupa muulize manji na kagoda yake
Plus,Diamond, original comedy,dr shika,Anton Diallo,Mange,Shigongo,Marlow mzee wa pii..pii.bongo movies,nk walishatumika na ccmiz wakabwagwa.Hivo awe mpole,watamkumbuka hata ukuu wa wilaya asife moyo.
 
Shauri zao,

Wengine wanampenda Malaika balaaa.
ukweli ni kwamba huyu mtu akiondoka ccm italipuka kwa furaja nchi nzima , huyu mtu hapendwi sijapata kuona ! kikwete aneua kabisa ccm .
 
Duuh! Kwa hiyo.... CCM hawasuki nywele[emoji16][emoji16][emoji16] hiyo kiboko!![emoji125][emoji125][emoji125]
 
Namuoa huyu binti ntatuma picha !!! Love you dear hata hich kipind cha shida hatutoachana
 
Na mzigo wake wametumia sana hadi kwanza kuwa mbibi maskini
 
Back
Top Bottom