magombe junior
JF-Expert Member
- Sep 13, 2012
- 2,018
- 1,042
Wee hujamtaja no 1 mrangi ww,iv unawajua wale jamaa
Sent from my iPhone using JamiiForums
Sent from my iPhone using JamiiForums
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23]Wamasai wabahili sana wapo tayari kutembea kwa mguu umbali mrefu et wanabana matumizi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ubahili wa waha ukoje??/ nielezee mkuu
Ubahili wa waha ukoje??
Ulishawahi kufika kigomaHiyo listi ya wabahili hapo juu, ina makabila yaliyofanikiwa sana pia.
Wahangaza watoe kabisa sisi tunaongoza kwa kula bata mjiniHuu ni kwa mujibu wa utafiti nilioufanya naomba uzi huu usiondoleweeee maana watani zangu mpooo haya twende sasa
Tukianzia nambari moja hapa nazungumzia ubahili wa kutoa pesa mfukoni.
1.waha kutoka kigoma.
2.wapare kutoka same.
3.wameru toka arushaa
4.wahangaza toka ngara.
5.wasambaa toka tanga
6.wandengereko toka rufiji
7.wachaga toka kilimanjaro
8.wakurya toka tarime.
9.wapemba toka zenji
10.wamanyema toka kigoma.
Huu kwa mujibu wa utafiti kwa watani zangu tupunguze ubahiliii jamani tujifunze kutoa hahahaaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakinga ni the mostly bahili terrible in Tanzania