Makabila 10 yanayoongoza kwa ubahili huu

Makabila 10 yanayoongoza kwa ubahili huu

Wee hujamtaja no 1 mrangi ww,iv unawajua wale jamaa


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Huu ni kwa mujibu wa utafiti nilioufanya naomba uzi huu usiondoleweeee maana watani zangu mpooo haya twende sasa
Tukianzia nambari moja hapa nazungumzia ubahili wa kutoa pesa mfukoni.

1.waha kutoka kigoma.

2.wapare kutoka same.

3.wameru toka arushaa

4.wahangaza toka ngara.

5.wasambaa toka tanga

6.wandengereko toka rufiji

7.wachaga toka kilimanjaro

8.wakurya toka tarime.

9.wapemba toka zenji

10.wamanyema toka kigoma.

Huu kwa mujibu wa utafiti kwa watani zangu tupunguze ubahiliii jamani tujifunze kutoa hahahaaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Wahangaza watoe kabisa sisi tunaongoza kwa kula bata mjini
 
Back
Top Bottom