Makabila kumi yenye wanawake wazuri sana Tanzania

Makabila kumi yenye wanawake wazuri sana Tanzania

Afu wengine tulidondokea kwa 'Nyambo' mbona hawapo hapo ktk list si unajua wengine wana damu ya Kagame wapo vizuri tu
 
Zunguka Tanzania nzima:-

Ukweli mchungu ni kuwa

wanawake wazuri zaidi nchini wako kwa Ranki hii hapa.:-

1. Kanda ya Kaskazini.
Ambapo ikibebwa na Kilimanjaro. Tanga. Arusha. Manyara. Hapa kuna (Beauty with Brain)

2. Kanda Ya Ziwa. Ambapo ikibebwa na Mwanza, Mara. Shinyanga

3. Kanda ya Kati ikibebwa na Singida na kwa sehemu Dodoma .

2. Kanda ya Pwani ikibebwa na Pemba na Dar Es Salaam.

4. Kanda ya kusini.

5. Kanda ya Nyanda za Juu. Yaani Mbeya na viunga vyake inashika Mkia.

Nasisitiza uzuri unahusisha Umbo, Rangi, Sura na kimo.

Sipendi bias mimi.
 
Wanyakyusa hapo sikubali hata kwa ngumi
Jamani mtuache
Hiyo 10 ondoa aisee,

Wanyakyusa watoe

Wanyakyusa.???
You Must Be Mad...

Tena level za kwenda Milembe kabisa..

Wanyakyusa?

Wanyakyusa sio kweli

Wanyakyusa wanapenda kujichubua hao

wanyakyusa watoe...........ila ni wazuri wa sura au maumbile?

namba 10 imezua balaa, inabidi nifunge safari ya nyanda za juu kusini nikajionee yaliyomo yamo..?

Kumbe hata Wanyakyusa wamo!

Wakina Naibu spika sikubar

4,7,10 A big NO!

Mkuu wanyakyusa umewaweka kwa kigezo gani
 
Zunguka Tanzania nzima:-

Ukweli mchungu ni kuwa

wanawake wazuri zaidi nchini wako kwa Ranki hii hapa.:-

1. Kanda ya Kaskazini.
Ambapo ikibebwa na Kilimanjaro. Tanga. Arusha. Manyara. Hapa kuna (Beauty with Brain)

2. Kanda Ya Ziwa. Ambapo ikibebwa na Mwanza, Mara. Shinyanga

3. Kanda ya Kati ikibebwa na Singida na kwa sehemu Dodoma .

2. Kanda ya Pwani ikibebwa na Pemba na Dar Es Salaam.

4. Kanda ya kusini.

5. Kanda ya Nyanda za Juu. Ikishika Mkia.

Nasisitiza uzuri unahusisha Umbo, Rangi, Sura na kimo.

Sipendi bias mimi.
Huu ni ukweli unaoniuma ila ndo hivyo ntafanyaje inabidi niukubali kwa shingo upande
 
Back
Top Bottom