Makabila kumi yenye wanawake wazuri sana Tanzania

Makabila kumi yenye wanawake wazuri sana Tanzania

Zunguka Tanzania nzima:-

Ukweli mchungu ni kuwa

wanawake wazuri zaidi nchini wako kwa Ranki hii hapa.:-

1. Kanda ya Kaskazini.
Ambapo ikibebwa na Kilimanjaro. Tanga. Arusha. Manyara. Hapa kuna (Beauty with Brain)

2. Kanda Ya Ziwa. Ambapo ikibebwa na Mwanza, Mara. Shinyanga

3. Kanda ya Kati ikibebwa na Singida na kwa sehemu Dodoma .

2. Kanda ya Pwani ikibebwa na Pemba na Dar Es Salaam.

4. Kanda ya kusini.

5. Kanda ya Nyanda za Juu. Yaani Mbeya na viunga vyake inashika Mkia.

Nasisitiza uzuri unahusisha Umbo, Rangi, Sura na kimo.

Sipendi bias mimi.
Nahisi wasuks wanaongoza sema hawajui kujiremba tu. Mtakataa ila ukweli ndo huo
 
Hapo kwa wananyakyusa ungewaeka wambulu mkuu. Hao wa Tanga toa kabisa Sana Sana wanabebwa na mbwembwe zao zile za waja leo waondoka leo
 
Mhhhh jamani kwanini twambombo mnawatoa?? Shepu zao jeeee?
 
Nahisi wasuks wanaongoza sema hawajui kujiremba tu. Mtakataa ila ukweli ndo huo
Hiyo itakua Sio kweli.

Kwasababu Uzuri haujifichi kwenye ujuzi wa kujiremba. Uzuri ni kitu cha asili. Unawesa tambua mzuri hata kabka hajajiremba

Pia Unapotaja makabila, ufahamu kila kabila nchini linaishi maisha ya kawaida sana na wanajiremba vilevile.
 
Zunguka Tanzania nzima:-

Ukweli mchungu ni kuwa

wanawake wazuri zaidi nchini wako kwa Ranki hii hapa.:-

1. Kanda ya Kaskazini.
Ambapo ikibebwa na Kilimanjaro. Tanga. Arusha. Manyara. Hapa kuna (Beauty with Brain)

2. Kanda Ya Ziwa. Ambapo ikibebwa na Mwanza, Mara. Shinyanga

3. Kanda ya Kati ikibebwa na Singida na kwa sehemu Dodoma .

2. Kanda ya Pwani ikibebwa na Pemba na Dar Es Salaam.

4. Kanda ya kusini.

5. Kanda ya Nyanda za Juu. Yaani Mbeya na viunga vyake inashika Mkia.

Nasisitiza uzuri unahusisha Umbo, Rangi, Sura na kimo.

Sipendi bias mimi.
Kanda ya ziwa imebebwa na simiyu kwa uzuri, mwanza inafatia, shy, kagera, geita, mwisho kabisa n mara
 
My top 10
1.wamburu
2.wanyiramba
3.warangi
4.wasambaa
5.wanyamwezi
6.wachaga
7.wazigua
8.wadigo
9.wasukuma
10.makabila yote ya pwani. Lindi, killwa, bagomoyo nk
 
Kama wamburu na wairaq hawapo list yako batli
 
Back
Top Bottom