Makabila kumi yenye wanawake wazuri sana Tanzania

Makabila kumi yenye wanawake wazuri sana Tanzania

kwa wanyakyusa labda mnikate shingo.

hata mimi nimeshngaa labda nihasiwe kabisa....lakini orodha hiyo yote ni ya makabila ambayo wanawake wao wengi hawaoleki-wasumbufu sana kwenye ndoa, except wasukuma
 
hata mimi nimeshngaa labda nihasiwe kabisa....lakini orodha hiyo yote ni ya makabila ambayo wanawake wao wengi hawaoleki-wasumbufu sana kwenye ndoa, except wasukuma
kizuri hakikosi kasoro,ni maarufu sna kwa huduma za kibaamaid
 
Ktk wanawake mimi binafsi list ya wanawake wanaofaa kuwa wake regardless sura zao
1.arusha general,wamasai
2.wakinga
3.wakulya
4.waha
5.wasafwa mbeya
6.wandali
7.wabena
8.wafipa
9.wanyiha mbozi
10.....................
Ukioa mke kutoka makabila haya ni wife matereal ila sura ni zero hapo isipokuwa arusha .Kama unahitaji mke bila sura basi ingia kwa hawa ukitaka na sura na tabia basi zama arusha.
Wale wenye sura nzuri tabia mtafutano hapo
1.wahaya
2.wasingida
3.wanyakyusa
4.wanyamwezi
5.wazaramo
6.warangi
 
Back
Top Bottom