Makabila kumi yenye wanawake wazuri sana Tanzania

Makabila kumi yenye wanawake wazuri sana Tanzania

1.warangi
2.wanyaturu
3.wameru
4.wamasai
5.wasukuma
6.wachagga
7.wahaya
8.wanyamwenzi
9.wapare
10.wanyakysa
We jamaa inaonekana Tanzania huijui.
Kwanza hujaeleza kama huo uzuri ni matokeo ya utafiti au ni mtazamo wako tu.
Pili, hivi umefika mikoa mingapi ya nchi yetu?
Na tatu huo uzuri ni vigezo gani ulivyotumia?
 
Back
Top Bottom