Vanestrooy
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 259
- 128
Wambulu umewaacha wapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
...Naona umejiweka wa mwisho kabisa 10Ungepanga angalao hivi ningekuelewa, lakini hiyo orodha yako ni zero.
1. Wambulu
2. Warangi
3. Wasambaa
4. Washirazi
5. Wanyiramba
6. Wahangaza
7. Wanyamwezi
8. Wagunya
9. Wanyaturu
10.Wajaluo
Wanawake wao mabaunsa sana miili kama John cena wa mielekaWanyakyusa hapo sikubali hata kwa ngumi
Wachaga miguu kama chaga za kitanda, vimiguu vyembamba unaweza sema ni bomba la maji bafuni, Juu sasa wapana na wanene kama temboMy Top 5;
1. Warangi
2. Wambulu/Wairaq
3. Wanyaturu
4. Wanyamwezi
5. Wachaga
Wananwake wazuri au umeandalia weupe. Kuu?1.warangi
2.wanyaturu
3.wameru
4.wamasai
5.wasukuma
6.wachagga
7.wahaya
8.wanyamwenzi
9.wapare
10.wanyakysa
Sasa wakati mwingine usiongee bila utafiti wa kutosha!Hapana
Ndio mara yakwanza nasikia kutoka kwako
Wanyaki hawatoe kwanini?Wanyakyusa watoe
Kama amepika ajiandae kwenda jela.hizo takwimu umepika aseee
Una mention vikabila vidogo vidogo acha utani wako hapa.Unawaacha Wahangaza, wambulu(wairaqw), wapemba, waasi.....unaweka wasukuma, wanyakyusa, wapare....huu utafit wa kupika aisee!!
Muambie hajui kuwa wanyantuzu ni wasukuma hao hao!!Wanyantuzu si ni wasukuma wa bariadi? Kwani kuna kabila la wanyantuzu la wapi hilo?
Aliyekudanganya kuwa wanyantuzu siyo wasukuma ni nani?hivi wewe unawafahamu wanyantuzu?
Mkuu wote hawa kichwani n kutupuUngepanga angalao hivi ningekuelewa, lakini hiyo orodha yako ni zero.
1. Wambulu
2. Warangi
3. Wasambaa
4. Washirazi
5. Wanyiramba
6. Wahangaza
7. Wanyamwezi
8. Wasandawe
9. Wanyaturu
10.Wajaluo