Makabila kumi yenye wanawake wazuri sana Tanzania

Makabila kumi yenye wanawake wazuri sana Tanzania

Huyu hajui makabila yenye watoto wazuri yeye alichoangalia weupe siyo uzuri wa mwanamke ila Wahaya na Wakurya wamo
 
Mimi naamini mikoa ya kanda ya kaskazini INA wanawake wazuri MNO, mikoa ya manyara, Kilimanjaro, na Tanga, ni wazuri WA sura na tabia pia zao ni nzuri MNO hasa ukimkuta amelelewa ktk maadili ya kumuogopa MUNGU
Uko sahihi sana, sina record ya udhalilishwaji iliyowahi fanywa na mwanamke wa Kaskazini. Hata sura na maumbo pia ni wazuri
 
Back
Top Bottom