Wanyakyusa.???
You Must Be Mad...
Tena level za kwenda Milembe kabisa..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ww ndo ziro kbs hadi mjaluo nae Hahahha Au ww ndo mjaluo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashangaa huyu jamaa anaanzisha uzi na hajafanya utafiti wowote.Wairaq
[emoji23][emoji23][emoji23]Hapo kwa wanyakyusa toa weka kabila lingine
Hahahaha!Wanyakyusa.???
You Must Be Mad...
Tena level za kwenda Milembe kabisa..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]majority ya wakinga wanakuwaga na sura nzito..nimeishi nao miaka dahari..vidole km tangawizi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
πππ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acha laana weweHapo wachaga unakuwa umewabadilishia miguu wawemo humu, au ile ile?
Hapana mkuu mke wangu ni mang'ati ila mchepuko wangu ni mnyakyusa ila siku hizi nimeacha uchepukajiBraza na wewe ulivuta mnyakyusa kama ??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ππππππͺπͺπͺπͺβ¬β¬β¬β¬βͺβͺ...Mase dah...enzi zangu .
Zamani saana niliacha
Pole kwa dhahma mzee mwenzangu[emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]β¬β¬β¬β¬βͺβͺ...Mase dah...enzi zangu .
Jamani kati ya hao ni kabila lipi! Ukitongoza tuuh wanakubali mara moja kwa maana sisi wengine hatupendi kuzungushwa kama wanafunzi wa darasa la saba... tuna mambo mengi ya kufanya kwa ajili ya Taifa... NISAIDIENI?
Sent from my iPhone using JamiiForums