Makabila kumi yenye wanawake wazuri sana Tanzania

Jamani kati ya hao ni kabila lipi! Ukitongoza tuuh wanakubali mara moja kwa maana sisi wengine hatupendi kuzungushwa kama wanafunzi wa darasa la saba... tuna mambo mengi ya kufanya kwa ajili ya Taifa... NISAIDIENI?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 my ribs..kwamba Taifa linapoteza muda na rasilimali za nchi😂😂😂
 
Back
Top Bottom