Makabila kumi yenye wanawake wazuri sana Tanzania

Hakunaga wanawake wazuri kupita WAIRAQ hapa africa ya mashariki
 
Wanawake wazuri wana sifa gani? Uzuri au urembo ni misamiati tata. Vyote vinategemea mtazamo wa mtu.
Mwanamke mzuri ni yule mwenye kujiheshimu na kumcha Mungu. Mengine ni mbwembwe tu kwani uzuri au urembo wakati wowote unaweza kuwa kinyume chake.
Hayo Yote yanajulikana ila hapa IPO Kidunia .Usizungukeeee sana
 
Woi Kwendraa!!. Tema mate chini wewe apo unapaka upepo rangi hamna kitu
 
Nimeshangaa kuwaona wanyakyusa hapo,nilialikwa harusi flani kubwa ya wanyakyusa aisee sijawahi kuona harusi imejaa wanawake wa hovyo kama ile,vipori tupu vilijaa mle vya kinyakyusa


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…