Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
SawaWivu tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SawaWivu tu
Hayo Yote yanajulikana ila hapa IPO Kidunia .Usizungukeeee sanaWanawake wazuri wana sifa gani? Uzuri au urembo ni misamiati tata. Vyote vinategemea mtazamo wa mtu.
Mwanamke mzuri ni yule mwenye kujiheshimu na kumcha Mungu. Mengine ni mbwembwe tu kwani uzuri au urembo wakati wowote unaweza kuwa kinyume chake.
Tema mate chini wewe apo unapaka upepo rangi hamna kituHawajui wanyakyusa huyo
Kwanza wana kila kitu ambacho mwanamke anatakiwa awe nacho.Sura hata mbuzi anayo
Vipi Shepu?
Jumlisha sura
Basi Wanyakyusa Hoyeeeeeeeeee
Kitu Black beauty!!
Mbele anaita Nyuma anaita.
Sasa mnataka nini.
Ukatae ukubari utafiti ndo huo.
Scientific proven!
Wapare wapo juu1.Warangi
2.Wanyaturu
3.Wameru
4.Wamasai
5.Wasukuma
6.Wachagga
7.Wahaya
8.Wanyamwenzi
9.Wapare
10.Wanyakysa
lWe unawajua wakurya jinsi walivyo wazuri?
[emoji2] [emoji2] [emoji1]warangi ni waajabu sana! Sura nzuri ila mguu kama tubelight!
Ha ha ha!!Labda anamaanisha uzuri wa makalio. Demu mbaya ila tako kubwa kama gari
Wanapatikana Tanga sehemu gani hasa.Wasambaa wa tanga unawachaje ss