Makabila kumi yenye wanawake wazuri sana Tanzania

[QU
OTE="Midumare Ngatuni Iwato, post: 25433310, member: 375376"]1.warangi
2.wanyaturu
3.wameru
4.wamasai
5.wasukuma
6.wachagga
7.wahaya
8.wanyamwenzi
9.wapare
10.wanyakysa
Umekosea sana NUMBER MOJA NI WAFIPA
2 WARUNGU NA 3 WAPANGWA[/QUOTE]
weka picha
 
Mkuu, naona una makengeza. Hiyo 4, 6, na 10 si kweli....badala yake ungeweka Wamwera, Wamakonde, Wazaramu.
 
Uzuri wa vipi mkuu unaojaribu kuzungumzia...maana kuna wanawake wazuri wa sura, na wanavutia kila mda kwa sura na manukato yao wanakutia ham kila mda kwa mapishi yao na lafudhi zao yanii ni watam watam wanapatikana visiwan zanbar na pemba
 
Ungepanga angalao hivi ningekuelewa, lakini hiyo orodha yako ni zero.

1. Wambulu
2. Warangi
3. Wasambaa
4. Washirazi
5. Wanyiramba
6. Wahangaza
7. Wanyamwezi
8. Wasandawe
9. Wanyaturu
10.Wajaluo
Bulshit
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…