Jackline Bahath
JF-Expert Member
- Feb 14, 2016
- 681
- 627
kumbe wasambaa tuko vzr
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu acheni vituko basi! Eti wachaga! Kwa hayo mashepu yao namba 9?? Au unafikiri kila mweupe ni mzuri??[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Unasikitika kwa lipi mkuu? Hii ni orodha ya warembo sio wake bora. Relax
Maajabu et wanyakyusa wazuri hahahahahah nooo big noooNamba 10 nakupinga kwa 100%
[emoji375][emoji375]
Mkuu wala usipaniki nilishamwambia mtoa uzi tukimaliza huu uzi inabidi alete mada nyingine inayohusu wake bora ngoja sasa tuone iyo list aliyoitoa tuone kama watapatikana wake bora mana kuna makabila special kwa kugegeda tu just for bata.Ukweli upi zaidi ya hicho nilichomwambia?
Orodha yako ni ya wanawake warembo lakini sio ya wake bora.
Mtu kuwa mzuri sio tiketi ya kuwa mke mwema. Hata kwenye huu uzi kuna makabila umeyaweka 10 bora lakini umekiri hawana utulivu, hao ni wa kuoa sasa?
Mkuu wala usipaniki nilishamwambia mtoa uzi tukimaliza huu uzi inabidi alete mada nyingine inayohusu wake bora ngoja sasa tuone iyo list aliyoitoa tuone kama watapatikana wake bora mana kuna makabila special kwa kugegeda tu just for bata.
Sent using Jamii Forums mobile app
Baby mama wangu yupo 1st ndani ya Top Ten kumbe Zero niko vyema kwenye kuchaguaHebu Leo tupate new update za kumi bora ya makabila yenye wanawake wazuri tanzania.
1. Wahiraki, hawa ni wanawake wa jamii ya Wahiraki wa napatikana kaskazini mwa Tanzania wamezagaa mikoa ya manyara ni weupe Wana Umbo zuri wanavutia kwa Macho.
2. Warangi, hawa ni wanawake jamii ya Warangi ni wazuri nywele zao ni asili ya waraabu weupe sura nzuri wanapatikana kondoa
3. Wanyiramba. Hawa ni warembo Sana sura matata wanapatikana mkoa wa singida kaskazini, usipokua makini utawafananisha na wanyaturu
4. wamasai, kabila hili wanawake wazuri sio wengi Sana lakini ukikutana na sampuli Tatu au nne hivi utauza hata boxa kuongezea mahari wamezagaa Sana Arusha
5. wahaya, hawa nao ni jamii ya Kanda ya ziwa maumbile Yao Kuna weupe miguu Yao ya bia shape matata wamejaa Sana bukoba.
6. wanyaturu, hawa wanafanana na Wanyiramba wanapatikana singida hasa ikungi na manyoni weupe wanavutia
7. Wapare, hii ni jamii ya kabila la Wapare wanapatikana moshi wilaya ya same wako vizuri usicheze kabisa na hili kabila shape nzuri.
8 .wamakonde, hawa wanapatikana kusini mwa Tanzania ni kabila lenye wanawake wazuri Sana hususani maumbo Yao na shape za kuvutia
9. Wasambaa, Kwanza weupe wanawake kitanga wamezagaa Sana tanga mjini
10. wanyakyusa moja kwa moja twende mbeya hawa wanawake wengi wao ni weusi lakini sura zao nzuri Sana black beauty
Nb: mliooa kazi kwenu sijuhi uko namba ngapi hapo mchana mwema
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha tatizo wana roho nzuri, nimekuelewa bosiWairaq/wambulu wapo vizuri sana, tatizo wana roho nzuri sana!siyo wachoyo kabisa
HahahaHahahaha tatizo wana roho nzuri, nimekuelewa bosi
Waha wazuri ni wale wenye damu ya kitusi wa heru juu wengine noooWAHA mbna hawapo kwenye tafit yako