Mwanambugulu
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 683
- 851
Duuh uliweka wanyakyusa hapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna kitu hapa hii ndo list yenyewe [emoji1541]
1. Wakinga
2. Wafipa
3. Wazanaki
4. Wabena
5. Waha
6. Wahadzabe
7. Wahehe
8. Watindiga
9. Wamakonde
10. Wamakua
OVER!!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa hutaki au...?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eti wakinga[emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂💪✌ nakubali kbs yaan[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa hutaki au...?
[emoji23][emoji23][emoji23] ila kiukweli huyo mdau kaamua kutusanifu, labda top ten kutoka mwisho[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji123][emoji111] nakubali kbs yaan
majority ya wakinga wanakuwaga na sura nzito..nimeishi nao miaka dahari..vidole km tangawizi😂😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23] ila kiukweli huyo mdau kaamua kutusanifu, labda top ten kutoka mwisho
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kazi tunayo walahmajority ya wakinga wanakuwaga na sura nzito..nimeishi nao miaka dahari..vidole km tangawizi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mapembelo!![emoji23][emoji23][emoji23] ila kiukweli huyo mdau kaamua kutusanifu, labda top ten kutoka mwisho
Wewe, usiwatukane dada zangu.!!majority ya wakinga wanakuwaga na sura nzito..nimeishi nao miaka dahari..vidole km tangawizi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Safi, inyag'he olematsava au in'ghosi jyango.Vavene ndeti
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukweli mchungu huo
Mapembelo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa hutaki au...?
Duh hili tusi kubwa mnomajority ya wakinga wanakuwaga na sura nzito..nimeishi nao miaka dahari..vidole km tangawizi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu wapi hiyo Mang'oto,usungilo,ikonda,Lupalilo,mago,ugabwa,ilevelo,ndulamo,makete au Bulongwa kabisa?Safi, inyag'he olematsava au in'ghosi jyango.
Maana humu kila kitu kinawezekana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo wachaga unakuwa umewabadilishia miguu wawemo humu, au ile ile?1.Warangi
2.Wanyaturu
3.Wameru
4.Wamasai
5.Wasukuma
6.Wachagga
7.Wahaya
8.Wanyamwenzi
9.Wapare
10.Wanyakysa
Braza na wewe ulivuta mnyakyusa kama ??Mnavyowasema vibaya wanyakyusa mjue mnatupa shida huku nimeanza kununiwa