Makabila kumi yenye wanawake wazuri sana Tanzania

Makabila kumi yenye wanawake wazuri sana Tanzania

Mughonile!

Kama kichwa kinavyoeleza, top 10 ya makabila yanayoongoza Kwa Pisikali nchini Tanzania.

1. Wanyaturu.
Warefu, weupe, Sura nzuri, baadhi yao wananyama.
Ingawaje wanashutumiwa Kwa umalaya.

2. Wambulu.
Urefu wa wastani, weupe na Rangi ya chungwa, Sura nzuri, nywele nzuri....

Kashfa Yao inafanana na wanyaturu, umalaya, na Meno kuwa na Rangi.

3. Wameru
Wengi huwaita Waarusha, hawa wanamchanganyiko na wamasai,
Rangi nyeupe mtelezo, urefu na maumbo ya kuvutia, Sura nzuri,

Tatizo Lao Hasira, Meno kuwa na Rangi.

4. Wajita
Rangi ya maji ya kunde mtelezo na weusi mtelezo, warefu wenye shepu, Sura nzuri na zawastani, urefu wao na maumbo Yao huwafanya waonekane Kama wanatembea Kwa maringo.

5. Wapare.
Hawa wapo wa Aina mbili, wapare wa Same na wapare wa Mwanga.
Wapare wa Same ni Wafupi lakini wenye Sura nzuri.
Huku wapare wa Mwanga wakiwa Warefu wenye Sura nzuri.
Sura nzuri, Rangi maji ya kunde na nyeupe mtelezo,

Pia wanakashfa ileile ya umalaya.

6. Wanyiramba.
Weupe, warefu, Sura nzuri, wengi wakiwa na miguu membamba.
Hawa Kwa kiasi kikubwa Wanafanana na Ndugu zao Wanyaturu.
Pia wanakashfa ya umalaya.

7. Wanyamwezi!
Wazuri wa sura, warefu wa wastani, shepu za maana, katika ukanda wa kanda ya ziwa ndio wanaoongoza Kwa wanawake warembo.

8. Wachaga.
Wazuri, warefu, Rangi nzuri, wengi shepu huzipata Kwa kuchanganya Makabila.
Uwepo wa Wapare Kama majirani zao umewanufaisha Kwa kuwa na Sura ndefu za kushuka,
Ili Msichana awe na Sura nzuri lazima awe na Sura ya kushuka na pua iliyochongoka kiasi.

9. Wamasai
Warefu, pua za kuchongoka, Rangi maji ya kunde mpauko, na nyeusi mtelezo, wembamba wa kuvutia.

10. Warangi!
Weupe, Sura nzuri, warefu wa wastani, ukaribu wao na Wanyaturu umewafanya wasitambulike, kwani watu wasiowajua huwachanganya.


Mpaka kufikia hapo unaweza kuona kuwa wanawake warembo Kwa nchi ya Tanzania wapo Kanda ya Kati, kuja kanda ya kaskazini Mashariki.
Hapa mjini ukiwakuta wanawake kumi wazuri basi Nane watakuwa wanatoka kwenye hayo Makabila hapo.

Ile ya kusema wanawake wote ni wazuri ni kweli lakini wengine uzuri wao mpaka upigwe Jerk, ubustiwe Kwa pesa.

Wasalamu
Mbona kaskazini wengi sana!!

Umetumia vigezo gani kuanalyse statistics zako?
 
Sawa tumekuelewa,pamoja na uzuri wao inaonekana wote wana sifa ya umalaya,kama ni hivyo bora tu niendelee huku kusini kwenye sura ngumu,afterall nikiwa najilia vitu vyangu nafumba macho shida iko wapi...
Hakuna cha umalaya wala nini ni wivu unawasumbua watu
 
Umejitahidi vp mama yako anatokea kabila gan[emoji23][emoji23]
 
Wajita kwenye show napo wako vizur,wanafunzwa vizur
 
Hujatembelea makabila yote ukaona.
Hajataja lenu au, nilikuwa na mnyaturu wangu nilijipigia Sana, mtamu anajua kulalamika kidume nilikuwa najimwagilia tu ..ashanikijolesha round 8

Sikumuona niliona ataniua bure.

Bora lichaga langu nachombua namaliza nasepa kutafuta shilingi
 
Uzuri na urembo wa mwanamke ni subjective na dependable kwenye preference za mtu binafsi hivyo huu uzi ni maoni yako binafsi.
Kwangu kwa sasa bado sijaona wanawake wazuri zaidi ya pwani I can't say any further uhalisia unajieleza.
 
Katika nchi zenye wanawake wazuri afrika ya kwanza ethiopia ikifatiwa rwanda msichokijua ni kwamba KABILA LA WANYATURU HISTORIA YAKE NA ASILI YAKE NI ETHIOPIA WATU WA HILI KABILA WANA ASILI YA ETHIOPIA WANYATURU NI WAKIMBIZI KUTOKA ETHIOPIA ZAMA HIZI ZA KALE WALIINGIA KAMA WAKIMBIZI BADAE WAKAFUKUZWA NA KUKIMBILIA SINGIDA ASILI YA HILI KABILA NI ETHIOPIA.
 
Mkuu hiyo top 10 yako ni batili.Unawaachaje kwenye orodha yako wanawake wa kihangaza kutoka kule Ngara kwamfano!?
 
Wanyakyusa hatujalamba hata nafasi ya 10 why? 😂Hivi unawajua wanyaki walivyo warembo wewe, rudia hiyo tafiti mkuu
 
Mshamba wewe unataja makabila wote hao kwa wasambaa hawakuti nilikuwa na mmeru akicheka meno anajificha halafu mademu wa dini Arusha 80% hawajielewi yaani wanajiona Kama wanaume

Tafuta msambaa wewe Kama weupe hana meno ya ukungu huwaga meno yakiwa ivyo sipend sijui kwa nn na wamasai hamna kitu labda waoane wao kwa wao na watu wa sudani ila ni warafu Kama mfupi utaona Soo
Wachaga unakuta mweupe na shape ya funza maziwa makubwa kitambi we nenda Zanzibar kaone mademu wacha ushamba njoo pwani ukutane na mademu hapo sijaona
 
Back
Top Bottom