Makabila kumi yenye wanawake wazuri sana Tanzania

Makabila kumi yenye wanawake wazuri sana Tanzania

on the lighter side😉
IMG-20220617-WA0019.jpg
 
Kuna kabila la wambulu? Nadhani ni wairaq unamaanisha kama sijakosea.
 
Kama wambulu umewaacha Basi hujui kuchagua , japo wambulu ni wamalaya Ila sifa ya uzuri wanayo
 
Mashokolo mageni🤣🤣..nyaki na haya 🤣🤣🤣🤣🤣🤣..
 
Mughonile!

Kama kichwa kinavyoeleza, top 10 ya makabila yanayoongoza Kwa Pisikali nchini Tanzania.

1. Wanyaturu.
Warefu, weupe, Sura nzuri, baadhi yao wananyama.
Ingawaje wanashutumiwa Kwa umalaya.

2. Wambulu.
Urefu wa wastani, weupe na Rangi ya chungwa, Sura nzuri, nywele nzuri....

Kashfa Yao inafanana na wanyaturu, umalaya, na Meno kuwa na Rangi.

3. Wameru
Wengi huwaita Waarusha, hawa wanamchanganyiko na wamasai,
Rangi nyeupe mtelezo, urefu na maumbo ya kuvutia, Sura nzuri,

Tatizo Lao Hasira, Meno kuwa na Rangi.

4. Wajita
Rangi ya maji ya kunde mtelezo na weusi mtelezo, warefu wenye shepu, Sura nzuri na zawastani, urefu wao na maumbo Yao huwafanya waonekane Kama wanatembea Kwa maringo.

5. Wapare.
Hawa wapo wa Aina mbili, wapare wa Same na wapare wa Mwanga.
Wapare wa Same ni Wafupi lakini wenye Sura nzuri.
Huku wapare wa Mwanga wakiwa Warefu wenye Sura nzuri.
Sura nzuri, Rangi maji ya kunde na nyeupe mtelezo,

Pia wanakashfa ileile ya umalaya.

6. Wanyiramba.
Weupe, warefu, Sura nzuri, wengi wakiwa na miguu membamba.
Hawa Kwa kiasi kikubwa Wanafanana na Ndugu zao Wanyaturu.
Pia wanakashfa ya umalaya.

7. Wanyamwezi!
Wazuri wa sura, warefu wa wastani, shepu za maana, katika ukanda wa kanda ya ziwa ndio wanaoongoza Kwa wanawake warembo.

8. Wachaga.
Wazuri, warefu, Rangi nzuri, wengi shepu huzipata Kwa kuchanganya Makabila.
Uwepo wa Wapare Kama majirani zao umewanufaisha Kwa kuwa na Sura ndefu za kushuka,
Ili Msichana awe na Sura nzuri lazima awe na Sura ya kushuka na pua iliyochongoka kiasi.

9. Wamasai
Warefu, pua za kuchongoka, Rangi maji ya kunde mpauko, na nyeusi mtelezo, wembamba wa kuvutia.

10. Warangi!
Weupe, Sura nzuri, warefu wa wastani, ukaribu wao na Wanyaturu umewafanya wasitambulike, kwani watu wasiowajua huwachanganya.


Mpaka kufikia hapo unaweza kuona kuwa wanawake warembo Kwa nchi ya Tanzania wapo Kanda ya Kati, kuja kanda ya kaskazini Mashariki.
Hapa mjini ukiwakuta wanawake kumi wazuri basi Nane watakuwa wanatoka kwenye hayo Makabila hapo.

Ile ya kusema wanawake wote ni wazuri ni kweli lakini wengine uzuri wao mpaka upigwe Jerk, ubustiwe Kwa pesa.

Wasalamu
Kwahiyo uzuri ni weupe na maji ya kunde? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kazi ipo.
 
Mashokolo mageni[emoji1787][emoji1787]..nyaki na haya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nadhani mtoa post utakua mweusi tii unapenda vyeupe peee

Tbh warangi wanawake ni wazuri sema tabia sasa
 
Wanyakyusa wa wapi hao ndgu yangu wa mbeya au kuna wanyaki wengine??

Matako makubwa kweli wanayo ila uzuri ni 0.001%..
Wanyakyusa, wahehe, wahaya na makabila ya mbeya, iringa, kagera huko wazuri ni kutafuta kwa tochi.
 
Back
Top Bottom