Makabila kumi yenye wanawake wazuri sana Tanzania

Makabila kumi yenye wanawake wazuri sana Tanzania

ila nasikia Wana hasira sana ngumu kuwaoa
Ni kweli wana hasira.
Mmeru ni kabila isiyopenda dharau, ukimdharau huna bahati.
Wasichana wa kimeru pia wanajua kupenda kupitioiza na wana wivu usio wa kawaida.

Ikiwa utajiepusha na hasira zao na kuwa mwaminifu ni wake wazuri mno.
80% wanatulia kwenye ndoa
 
Hivi mkuu, ushawahi kutembea tembea Manyara!? Au ndo DSM peke yake!

Jaribu kuzungukia maeneo hayo uje u edit huu upuuzi [emoji34][emoji34][emoji23][emoji23]

3. Wanyaturu
2. Warangi
1. Wairaq

Waliobaki wajenzi! [emoji125][emoji125][emoji125]
Warangi, wahasi.
 
Back
Top Bottom