Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
We Kei kumbe hujui Mange ni mtanga?
Akili zako zinakutosha kwenda kwenye mnanda na mdumange[emoji38][emoji38][emoji38]
Wanawake wa bara hawawezi kumilikiwa na akili ndogo za pwani.
Tabia za wanaume wa Pwani ni za kike sana ndio maana mnaishia kupaka wanawake kucha
Mange ni Mpare sio Mtanga!
Hata mwili wake jinsi ulivyo mkavu ndivyo ilivyo miili ya Wapare wengi hususa wale wa thame [emoji3][emoji28]