Makabila kumi yenye wanawake wazuri sana Tanzania

Makabila kumi yenye wanawake wazuri sana Tanzania

1. Warangi
2. Wanyaturu
3. Wameru
4. Wamasai
5. Wasukuma
6. Wachagga
7. Wahaya
8. Wanyamwenzi
9. Wapare
10. Wanyakysa
Huu ni mtazamo wako tu, hivi mhaya na mmasai kwa sura wanamkaribia Mwiraq/mbulu?
Tembea tembea labda utaandika kinachoeleweka
 
kwenye hii list uzuri wa sura
warangi, wanyaturu, wachagga, wapare na wairaq/wambulu
uzuri wa shape wahaya na wasukuma hao wengine system imewatema 😁😁😁
Uzuri wake kati haya yaliyopitishwa na system nawe umo😅😅
 
1. Warangi
2. Wanyaturu
3. Wameru
4. Wamasai
5. Wasukuma
6. Wachagga
7. Wahaya
8. Wanyamwenzi
9. Wapare
10. Wanyakysa
Hivi mkuu, ushawahi kutembea tembea Manyara!? Au ndo DSM peke yake!

Jaribu kuzungukia maeneo hayo uje u edit huu upuuzi [emoji34][emoji34][emoji23][emoji23]

3. Wanyaturu
2. Warangi
1. Wairaq

Waliobaki wajenzi! [emoji125][emoji125][emoji125]
 
Wangeolewa wote binafsi mi makabila yote nimekaa nao ukitaka mke anayefit tafuta mdigo ,mgunya , mtumbatu au mpemba utapata kila kitu
 
Back
Top Bottom