Makabila mengi yenye wanawake wazuri kama Wapare wanapewa sifa ya kuwa malaya kwasababu ya wivu wa kijinga

Ni Kweli. Ila wapo wanaowasema kwa sifa hiyo na ndio nawajibu
 
Wahaya wana maumbo mazuri, kuna Wahaya wamechanya na Watutsi ni level nyingine.
Wahaya wana uzuri uliojificha.
Alinisimulia Kapeace 😂😂
Kimtizamo ubatizo wa malaya hutoka kwa wanawake, uzuri unaenda na kutongozwa sana mitongozo mingi, haijalishi umekataa ama kukubali, kwahiyo wanawake wengine wanaumia kuona jamii fulani tu ndo inayopapatikiwa na wanaume hivyo njia nyepesi ya kufariji machungu na maumivu yao ni kuita jina baya, hivyo tu

Halafu hii tag sikuiona jf wanafeli sometimes
 
Sema hivi;
Chakula kizuri kinaongoza kwa kupendwa na kuliwa zaidi kuliko vingine.

Wasichana warembo huandamwa kwa maneno mengi yenye uongo na ukweli kiasi
 
Hahahahaha,povu
 
Sema hivi;
Chakula kizuri kinaongoza kwa kupendwa na kuliwa zaidi kuliko vingine.

Wasichana warembo huandamwa kwa maneno mengi yenye uongo na ukweli kiasi
Mti wenye matunda
 
Mkuu,
Makabila yote yana me na ke wapenda ngono, yaani huwezi kusema "kabila x ni super specialized" wa ngono!
Sijasema wanapenda au hawapendi mkuu halafu mi huwa sio muumini wa negativity kwa wengine nilichofanya ni ku appreciate uwezo wao wa kimapenzi wangoni (girls) ni the best
 
wapare kwenye umalaya wapo ndugu. mtaniwia radhi wapare kama nitawakwaza. umalaya, ubahili, uchoyo, wivu, uchawi na ufupi. kama nadanganya semeni. kama ulishawahi kufanya kazi au biashara na mpare usiijue roho yake basi ulipigwa dawa usiwajue.
Sikupingi
 
Hivi uzuri unaosemea kwa vigezo vipi?
Rangi, urefu, nyash, pua, mdomo au meno? Hakuna mtu mbaya ila ni mtu kushindwa kutumia vipawa/viungo ambavyo Mungu amekujalia. Umalaya hauna kabila ila una matabaka mengi, maskini,uwezo wa kati na uwezo wa juu.
 
Ukisema hakuna mtu mbaya automatically umesema hakuna mtu mzuri.
Na ukisema kuna Wazuri elewa umesema kuna Wabaya.
Hakuna uzuri bila ubaya.
Na hakuna ubaya bila uzuri.
 
Sawa tumejua wewe ni mpare na handsome
 
Broo umenena , wapare ni wachafu wa tabia mimi nimeishi nao kwa zaidi ya miaka mitano, najua lugha yao vizuri na tamaduni zao, hawa jamaa kushare ngono/wapenzi kwao siyo nongwa.
 
Sijasema wanapenda au hawapendi mkuu halafu mi huwa sio muumini wa negativity kwa wengine nilichofanya ni ku appreciate uwezo wao wa kimapenzi wangoni (girls) ni the best
Kumbe wangoni Ke ni the best eenh, sijui nafanyaje experiment aisee😁 ephen_ umeamka mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…