Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha, mkuu wewe ni mwanasame halisi ,ila watoto wa kipare wanajua nini maana ta shanga iwe wamama au binti zao .Masandare kule wake za watu walikoma. Miaka ya 1991-1994 Kuna mwanafunzi (anaishi Shaban Robert) alikua ana hela anakula mke wa Headmaster kila weekend kwenye gest pale karibu na posta same mjini
Upareni Umalaya upo kwenye DNA.Hahaha, mkuu wewe ni mwanasame halisi ,ila watoto wa kipare wanajua nini maana ta shanga iwe wamama au binti zao .
🤣🤣Mkuu miaka ya 1991-1994 ndo magari yalikuwepo shule nyingi za Serikali. Samson (Isuzu injection) lilikua jipya
Ulikua unapiga advance au olevelUpareni Umalaya upo kwenye DNA.
O'level baadae nikaenda advance Old MoshiUlikua unapiga advance au olevel
Dah noma yani umesoma shule za kibabe , mimi tosa then same boysO'level baadae nikaenda advance Old Moshi
Mimi ni mtafuta riziki na nimejiajiri.
Katika mishe zangu, nimeishi Mwanga, nimeishi kihurio, nimeishi hedaru, nimeishi Ndungu. Sipendi kuweka wazi hapa ila hawa ndugu zako wanahitaji maombi
Same palikua pagumu sana aisee. Mlikulaga BELABELA?Dah noma yani umesoma shule za kibabe , mimi tosa then same boys
Umalaya upareni Ni kama Bukoba tu
No ila tulikula sana mbuzi na kuku za wanakijiji pale ndaleSame palikua pagumu sana aisee. Mlikulaga BELABELA?
Upareni kote Sera ni umalaya. Enzi hizo HEDARU ndo ilikua makao makuu ya Umalaya - Malori yanaweka kambi hapo kila gesti imejaa Malaya wa kupigwa miti
ha ha ha. Choo kile cha kule Shaban Robert kilikua hakijawahi kuezekwa. sema ilisaidia kulika hakuna harufu ya nnya na mikojoNo ila tulikula sana mbuzi na kuku za wanakijiji pale ndale
Upareni Umalaya upo kwenye DNA.
Wapare umalaya wao hauwi reported kwenye takwimu za kitaifa. Ila ni MALAYA haswaUwepo wa Malori sio kigezo cha kusema pale kuna umalaya.
Vipi huko upareni maambukizi ya ukimwi wapo top 10 kitaifa? Kama hawapo iweje useme kuna umalaya?
Vipi wanafunzi kubeba mimba wakiwa shuleni je upareni wanaongoza? Kama hawaongozi nini kinakufanya useme upareni wana umalaya?
Vipi mambo ya ugoni, je kitaifa unaweza kukaa miaka mingapi hujasikia mauaji yanayosababishwa na wivu wa mapenzi au mafumanizi huko upareni?
Au ninyi ni indicators gani mnatumia kusema Wapare ni Malaya?
Ukitoka same boys ni zaidi ya jeshiha ha ha. Choo kile cha kule Shaban Robert kilikua hakijawahi kuezekwa. sema ilisaidia kulika hakuna harufu ya nnya na mikojo