Makabila mengi yenye wanawake wazuri kama Wapare wanapewa sifa ya kuwa malaya kwasababu ya wivu wa kijinga

Ila bwan mtibeli wapare Ni malya jmn siyo mwanamke siyo mwanaume

Siyo ajabu kak mkashare nae demu mmoja

Nimekah na ninyi ila mkp SAS nimeamua kufua urafiki na wapare Ni watu wa ajbu San mm kuwai kuwaon walivyo wazinsi wa kutukuka

Jamaa wanakula demu mmoja na kak ake Kisha kak anantembee na binamu wake Mara mtot wa Bab mdg nae analalwa na wala haogopi kutembe nao

Bint akinimbia yey Ni mpare ,mmbulu,mnyaturu ,mrangi nitakacho fanya Ni kugegeda tu Kisha nafuta namba
Malaya wapo upareni
 
Huna lolote, wapare ni moja ya kabila la ovyo nchi nzima, Bora wachaga ni wabahili lakini pesa wanazobana wanafanyia maendeleo, ila wapare ni wabahili na hawafanyi maendeleo, pesa anataka zikae tu.

Mpare anaweza akawa na laki mbili mfukoni akafa kwasababu ya kuona ubahili wa kununua dawa ya shilingi elfu tano, na pia wanapenda Sana miteremko ya kutumia pesa/vitu vya wengine huku vyao wanavyo wamevibana, hiyo tabia wanayo wapare wote siyo wanaume siyo wanawake, halafu wanajifanya kupenda sana maisha ya juu na ni malaya mbwa. Yaani mipare siipendi mno.
Umeongea kweli. Kuna jamaa kaoa dada yangu. Shemeji Malaya hatari, anaomba na anakopa daily. Majuzi anataka kuazima gari eti aende nalo upareni sikukuu. Nikamuambia poa, kumkomoa nikampa range rover 4500cc. Analalama ooh gari engine kubwa mafuta nitatoa wap
 
Anawaomba pesa?
 
Ukiona mwanamke anatongozwa sana siyo mzuri Bali ni

Cheep sana, mwanamke asiye cheep Huwa anamezewa mate tu kama vile mwanaume asiye cheep.
 
Kwema Wakuu!

Acheni wivu! Yaani mkiona Watu wamebarikiwa jambo fulani roho mbaya zenu mbaya hazitulii. Wivu na maumivu moyoni yanawachoma. Mnaanza kuropoka mashudu yenu.

Mkiona mdada mzuri tuu mnaanza kumpa majina Mabaya. Kisa anatongozwa na Wanaume wengi. Utajiri wa mvuto wa kisura na kimaumbile haihusiani na tabia ya umalaya.

Makabila yenye wanawake wazuri hapa Tanzania imekuwa kawaida kuwahusisha na Umalaya lakini ukichunguza vizuri unakuja kugundua ni Wivu tuu. Kwa mfano Makabila kama Wambulu(Wairaq), Wanyaturu na ndugu zao Wanyiramba, Warangi wote hao ni makabila yènye wanawake wazuri na wanahusishwa na Umalaya jambo ambalo sio Kweli.

Wanawake wa Wapare wapo top five ya wanawake wazuri hapa Bongo, na Kwa wanaume wao wapo top 3 ya wanaume wazuri hapa Tanzania. Hiyo ukubali au ukatae. Upareni kukutana na Handsome boy sio jambo la kushangaza kwa sababu wapo wengi. Kukutana na Wanawake wazuri sio suala la ajabu.

Tabia hiyo pia ya roho mbaya imehamishwa kwenye mambo ya kiuchumi. Makabila yenye Mafanikio ya kiuchumi kama Wachagga, Wakinga, au Wapemba hupewa majina Mabaya kama wizi, ujambazi, ufisadi na uchawi. Acheni wivu.

Huwezi kuoa mke mzuri asitongozwe na wanaume. Kwa sababu wanaume wanapenda wanawake wazuri. Wewe kama kipimo cha kutotongozwa kwa mkeo ndio kutokuwa malaya basi elewa kuwa mkeo hana mvuto, sio mzuri na hana la maana.

Upande wa pili, huwezi kuwa na Mwanaume Handsome boy au mwenye uchumi alafu wanawake wenzako wasimsarandie. Haipo hivyo. Ukiona mumeo yupoyupo tuu na hakuna Mwanamke hata mmoja anayemtaka ujue hapo hakuna kitu. Umepoteza.

Wanawake wa kipare wanajiamini, hawataki kuonewa, hawataki unyanyasaji wa kijinsia kwa Jina la Mfumo dume, wapo radhi wabadilishe wanaume hata elfu moja ikiwa tuu wanapata Wanaume Mabwege wasiojitambua.

Wanawake wa kipare au kichaga, kama unapenda kwenu lazima upende na Kwao. Kuhusu ufupi nyundo ni sifa yao pia, lakini pia wapo Warefu hasa wanaôtokea Upareni kaskazini maeneo ya Mwanga.

Wapare kwa ujumla sio Watu wa kusikiliza maneno ya Watu Wajinga na watu wasiojiamini au wenye roho za chuki kisa tumewazidi mambo nyeti ambayo hayanunuliwi kwa pesa.

Povu Rukhsa!
Wapare ni malaya
 
Wakuu huu utafiti mmeufanyia wp mbona tunaoishi dar tunaona wazaramo na wamakonde ndye wnywe kwnye kugawa utamu na kutmbeza dozi.....!! Hizi mambo hazjawah kumuacha mtu
Umalaya hauna asili wakuu kuna jamaa zangu nmeskuli nao moshi wachaga asee jamaa n malaya mpka was was nkawa naskia mm.....!! Yan tuposhule wnatiana kias kile na wadada w mtaani nkasema haw wakimalza mungu awasaidie tu ila shangaa awalijui hata gono lina rangi gan ila wnatiana kama wnawazmu..!!
Huu umalaya ni tabia bnafsi yan halihusiani na kabila wengne watawaja wahaya leo naskia wapare duh
Mim mpare wakuu ila USANGI kwetu hzo mambo zko chichin mno udini mwngi sio kama huku dar kwa wazaramo
 
Nyie wapare mna ubahili wa kijinga jinga halafu mnapenda miteremko hata kama ni wanaume.
 
Malaya wapo kila kona.

Wahaya ni wabaya ila wanaongoza kuwa Mamalaya
Wahaya ni Wabaya???

Mimi sio Mhaya ila Wahaya wengi wazuri...wana ngozi nyeusi laini inayoteleza na figure ipo
 
Kwema Wakuu!

Acheni wivu! Yaani mkiona Watu wamebarikiwa jambo fulani roho mbaya zenu mbaya hazitulii. Wivu na maumivu moyoni yanawachoma. Mnaanza kuropoka mashudu yenu.

Mkiona mdada mzuri tuu mnaanza kumpa majina Mabaya. Kisa anatongozwa na Wanaume wengi. Utajiri wa mvuto wa kisura na kimaumbile haihusiani na tabia ya umalaya.

Makabila yenye wanawake wazuri hapa Tanzania imekuwa kawaida kuwahusisha na Umalaya lakini ukichunguza vizuri unakuja kugundua ni Wivu tuu. Kwa mfano Makabila kama Wambulu(Wairaq), Wanyaturu na ndugu zao Wanyiramba, Warangi wote hao ni makabila yènye wanawake wazuri na wanahusishwa na Umalaya jambo ambalo sio Kweli.

Wanawake wa Wapare wapo top five ya wanawake wazuri hapa Bongo, na Kwa wanaume wao wapo top 3 ya wanaume wazuri hapa Tanzania. Hiyo ukubali au ukatae. Upareni kukutana na Handsome boy sio jambo la kushangaza kwa sababu wapo wengi. Kukutana na Wanawake wazuri sio suala la ajabu.

Tabia hiyo pia ya roho mbaya imehamishwa kwenye mambo ya kiuchumi. Makabila yenye Mafanikio ya kiuchumi kama Wachagga, Wakinga, au Wapemba hupewa majina Mabaya kama wizi, ujambazi, ufisadi na uchawi. Acheni wivu.

Huwezi kuoa mke mzuri asitongozwe na wanaume. Kwa sababu wanaume wanapenda wanawake wazuri. Wewe kama kipimo cha kutotongozwa kwa mkeo ndio kutokuwa malaya basi elewa kuwa mkeo hana mvuto, sio mzuri na hana la maana.

Upande wa pili, huwezi kuwa na Mwanaume Handsome boy au mwenye uchumi alafu wanawake wenzako wasimsarandie. Haipo hivyo. Ukiona mumeo yupoyupo tuu na hakuna Mwanamke hata mmoja anayemtaka ujue hapo hakuna kitu. Umepoteza.

Wanawake wa kipare wanajiamini, hawataki kuonewa, hawataki unyanyasaji wa kijinsia kwa Jina la Mfumo dume, wapo radhi wabadilishe wanaume hata elfu moja ikiwa tuu wanapata Wanaume Mabwege wasiojitambua.

Wanawake wa kipare au kichaga, kama unapenda kwenu lazima upende na Kwao. Kuhusu ufupi nyundo ni sifa yao pia, lakini pia wapo Warefu hasa wanaôtokea Upareni kaskazini maeneo ya Mwanga.

Wapare kwa ujumla sio Watu wa kusikiliza maneno ya Watu Wajinga na watu wasiojiamini au wenye roho za chuki kisa tumewazidi mambo nyeti ambayo hayanunuliwi kwa pesa.

Povu Rukhsa!
Absolutely true
 
Wabena ni wabaya kupita maelezo ila ukimwi ndio umejaa NJOMBE
 
Wanawake wakipare n watamu bhna asikwambie mtu bhana ..

Wanafaa sana Kwa zile show za usiku mmoja ..
Wapare Watamu ndio acha uoga chukua jumla kama kugongewa utagongewa tu labda uoe msukule
 
Wapare kwa ujumla sio Watu wa kusikiliza maneno ya Watu Wajinga na watu wasiojiamini au wenye roho za chuki kisa tumewazidi mambo nyeti ambayo hayanunuliwi kwa pesa.
Kuna jamaa alinipiga biti akiniambia nisiwasogelee Wanawake wa kingoni nikamuuliza kwanini akanijibu ni WAHUNI kuanzia hapo nikaanza kucheza nao mbali sana, sasa Wapare kweli ni wazuri Ila kwa maelezo ya mtu mmoja anakwambia yasiyo ya ukweli wapo Wapare waaminifu sana kwenye Mahusiano na ndio tumetoka kuchukua Jiko upareni huko
 
Mk
Kitendo Cha kubadilisha wanaume 1000 ndio Umalaya wenyewe huo.
Au kwako tafsiri ya Malaya ni nini?

Hujataja sifa nyingine ya uchoyo na roho mbaya

Usiache na ile sifa ya uchawi kule kwenu, vizabi zabina na kutokuwa na kifua.

Ukifanya nao kazi hawa jamaa ni watu wenye ghiriba na hila nyingi.

Sijawahi kusikia kama wapare ni kabila lililopo kwenye Tano Bora ya uzuri Tanzania.

Lakini sikupingi labda ungeanza kutuambia ulitumia vigezo gani? au sifa ya ufupi! Usiwasahau na nduguzo Wawanji, Wabena ,Wakinga, Wapangwa na Wamanda ili mkamilishe tano bora.

Wanyaturu, Wanyiramba, Wanyisanzu na Wataturu wa porini kule ulienda kutoa posa utamkula kuanzia mama mtu mpaka shangazi zake.

Warangi sifa Yao ni uchawi kama unabisha kaoe.

Wahaya ni mapioneer kwenye miaka ya 60 mpaka Sasa kuhusu kujiuza kwa buku tatu mpaka buku na hii tabia wameitoa Uganda.

Nilitembelea miji kadhaa Uganda kama na nikajirizisha bila shaka kule ni kitu Cha kawaida na madanguro yametapakaa.

Wanyakyusa Ushamba na ujeuri usipokuwa makini watoto wako badala wawe na majina ya kipare basi wataitwa Lugano, Ipyana ,Gwalugano na mengineyo.

Wasafwa ni wachafu na usimtazame Masogange kama wote wapo vile.

Wanyiha ni makatili na ndugu zao Wanyamwanga na ndio jamii zinazo ongoza kufanya mauaji nyanda za juu.

Madem wa Arusha wakorofi na visu wanatembea navyo

Madem wa Dar nyodo na kiswahili kingi

Madem wa Mbeya sura za baba zao ila mikia Mungu kawajaharia

Madem wa Tanga wapole kwa asilimia kubwa

Tabia za kabila fulani huwa ni jumuishi na ni mwenendo wa kizazi hadi kizazi hata kama kamoja katakuwa na tabia tofauti.
Mkuu we kabila gani ili tukupe na madongo yako?
 
Back
Top Bottom