Makabila mengi yenye wanawake wazuri kama Wapare wanapewa sifa ya kuwa malaya kwasababu ya wivu wa kijinga

Wanaonekana malaya kwa sababu rate ya kutongozwa ni kubwa kuliko kwa wale wa kawaida.
 
Huna haja ya kutetea, chochote kizuri kitatafutwa na wengi. Uzuri wa mwanamke ni nini? Hapo kuna majibu mengi - lakini kwa wanaume wengi ni msichana mwenye heshima, mvuto wa kijinsia ya kike, mwili usiokuwa na dosari kubwa , uso usiokuwa na alama kubwa, msichana anayevutiwa na wanaume. Sasa kama ni msichana anayevutiwa na wanaume, na hapo hapo wanaume wengi wanafuata na kutoa ahadi kede kede. Mimi sioni kosa la mwanamke kwa kuwa dunia inaendeshwa kwa misingi ya "supply" na "demand ". Hakuna malaya hapo ni hali ya kibinadamu mtu kutumia vipawa alivyopewa na Muumbaji wake.
 
One of the Vilest and Social demeaning threads ever.

Sumu tupu.
 
 
Sema hivii, kuoa mke mzuri ni hatari!!!
Mzee ABRAHAM kila alipofika ugenini alimkataa mkewe SARA wasijemtoa roho yake sababu ya ulimbwende

Lakini hatari zipo nyingi maishani, kmf vyombo vya moto, madaraka, biashara, ngono kama ngono yenyewe pia nk nk. HATARI ni sehemu ya maisha, enjoy life.
 
sijaelewa, ni wapare gani wenye sura nzuri. umechanganyikiwa? (in mchaga's voice).
 
kwahiyo wakisema wanawake wazuri wasimame, tutamwona na mpare na vigimbi vyake kama analima tangawizi, amesimama? pls. tangu lini mkatuzidi wachaga?

Kwanza hakuna kabîlà linaitwa wachagga kijenetiki ila nchi ya wachagga Ipo.
 
Hao sio malaya tu bali ni wachawi pia
 


Kwa ule ufupi nyundo?

Uzuri wa mwanamke si sura wala makalio bali tabia njema.
 


Kwa choyo wamebobea.
 


They are very complicated and complex much.
 
Very
Very analytical, point of correction ila mmasai ni Nilote na muiraqw, Mtutsi na msomali ni wakushi
 
Hauna Takwimu kusema wapare ni malaya we kabila gani sio malaya? Hata wahaya mnawaonea kisa walikuwa na madanguro siku hizi hadi wamasai ni malaya (baadhi)? Each and every tribe has good and evil people.
 
hiyo niliyoizungumzia kwa kjifupi kwenye maelezo ya msingi gentleman
Hahaaahaha heshimu shemeji yako aise sio kweli malaya wapo kila kabila na hulka ya mtu sio kabila. Wapumzisheni wapare nachojua hawapendi mashemeji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…